Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba picha ya " muhimili"Kujizungusha kwenye mhimili Dunia inatumia saa 24(siku 1) Venus inatumia siku 243(kwa hesabu za siku za dunia). Kulizunguka jua Dunia inatumia siku 365(mwaka 1) venus inatumia siku 224.7. Natumai nimefafanua mkuu...
Imaginary line...naomba picha ya " muhimili"
Hahaaa haaa kweli umechokaaDuh inamaana siku mbili Venus ni miaka miwili huko....kwahiyo raisi magufuli angetawala siku tano tu....
Inaspeed kubwa kiasi lakinj pia inasababishwa na orbit yake kuwa ndogo zaidi ya dunia...Naongeza kidogo dunia inapouzunguka muhimili wake au nguzo yake mzunguko mmoja ikifika ilipoanzia itakuwa imechukua masaa 24 sawa na siku 1. Utakuwa umepata usiku na mchana
Kwa venus ikiizunguka muhimili au nguzo yake ikifika ilipoanzia itakuwa imechukua siku 243 za dunia,ikumbukwe hii ni mizunguko ya kuizunguka mihimili au nguzo zake c kulizunguka jua maana yake kuna mizunguko miwili
1. kuizunguka mihimili yake au nguzo zake
2. Kulizunguka jua usichanganye mizunguko
Kulizunguka jua dunia hutumia siku 365 sawa na mwaka 1 maana yake dunia ifike ilipoanzia
Venus ikilizunguka jua ikifika ilipoanzia itakuwa imetumia cku 224.7 za dunia
Maana yake mwaka wa venus ni mfupi kuliko wa dunia
Na kwamba venus ina speed kulizunguka jua kuliko dunia
Na kwa mahesabu ya kuizunguka mihimili dunia ina speed kuliko venus
Nafikiri mkuu umenielewa nimeeleza kwa kirefu kama kuna wanaofaham zaid waongeze elimu haina mwisho
Ndio, maana yake venus inajizumgusha ktk mhimili wake wakati huo huo pia inalizunguka jua, maana yake wakati inalizunguka jua yenyewe pia inajizungusha ila inajizungusha taratibu zaidi kuliko spidi yake ya kulizunguka jua, inawezekana kabisa.Kuimaliza Siku moja ni ndefu kuliko mwaka duuh?
Rotation =siku 243Sijakuelewa mzunguko mmoja wa siku za Dunia ni 243 na Jua 224.7 ina maana gani naomba unifafanulie?
Yap speed ya rotation ni ndogo sana...sana tena. Kwani circumference ya venus ni ndogo mno compate na circumference ya orbit yake.... hapa ni sawa na mwendo wa kinyonga kwa baskeli.Ndio, maana yake venus inajizumgusha ktk mhimili wake wakati huo huo pia inalizunguka jua, maana yake wakati inalizunguka jua yenyewe pia inajizungusha ila inajizungusha taratibu zaidi kuliko spidi yake ya kulizunguka jua, inawezekana kabisa.
Watu wanafanya kazi usiku na mchana kuexplore na kutafuta formula za kusolve hii puzzle.... u dont need to go there.Viumbe vinaweza ishi hao wliogundua Siku moja ni sawa mwaka mmoja waliishi wapi kweny tafit zao kipnd chote hicho na kugundua hilo may be dreams
How mkuu?Ilo swala la siku moja kuwa ndefu kuliko mwaka mmoja katika sayari ya Venus liliniachaga mdomo wazi wakati nipo shuleni.
Ingekuwa rahaa sanaDuh inamaana siku mbili Venus ni miaka miwili huko....kwahiyo raisi magufuli angetawala siku tano tu....