Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakikutumia na mie unitumie mkuunaomba picha ya " muhimili"
Somo limeniingia mkuuRotation =siku 243
Revolution = siku 224
Sasa hapo siku inakuwa kubwa kuliko mwaka, hapo kama wanaishi watu ukisema utumie miaka kama kigezo cha ukubwa wa mtu itakosea inabidi utumie siku.Rotation =siku 243
Revolution = siku 224
Sijakuelewa mzunguko mmoja wa siku za Dunia ni 243 na Jua 224.7 ina maana gani naomba unifafanulie?
How? I didn't get you ma.How mkuu?
Mkuu kama Venus kungelikuwa na maisha ya viumbe hai Magu angetawala siku 10 sasa hapo nafikilia kulala na kuamka?impongo;
Yaani, Kupata usiku na mchana huko Venus, huku kwetu umesha pata hizo usiku na mchana mara 243, na kumbe ili kuumaliza mwaka huko, tiyari weye huku unakaribia mwezi wa August. Ambapo ili tuseme tukiwa kule Venus kuwa; Unakumbuka jana nilikutuma...huku duniani tumeshasahau hiyo siku mara 243.
watu wame calculate mass ya sayari zote mpaks jua bila kuzifikia ila zimejulikanaViumbe vinaweza ishi hao wliogundua Siku moja ni sawa mwaka mmoja waliishi wapi kweny tafit zao kipnd chote hicho na kugundua hilo may be dreams
Huwezi kusrma Venus inacpid kuliko dunia ...pacpo kujua vipenyo vyao.....Naongeza kidogo dunia inapouzunguka muhimili wake au nguzo yake mzunguko mmoja ikifika ilipoanzia itakuwa imechukua masaa 24 sawa na siku 1. Utakuwa umepata usiku na mchana
Kwa venus ikiizunguka muhimili au nguzo yake ikifika ilipoanzia itakuwa imechukua siku 243 za dunia,ikumbukwe hii ni mizunguko ya kuizunguka mihimili au nguzo zake c kulizunguka jua maana yake kuna mizunguko miwili
1. kuizunguka mihimili yake au nguzo zake
2. Kulizunguka jua usichanganye mizunguko
Kulizunguka jua dunia hutumia siku 365 sawa na mwaka 1 maana yake dunia ifike ilipoanzia
Venus ikilizunguka jua ikifika ilipoanzia itakuwa imetumia cku 224.7 za dunia
Maana yake mwaka wa venus ni mfupi kuliko wa dunia
Na kwamba venus ina speed kulizunguka jua kuliko dunia
Na kwa mahesabu ya kuizunguka mihimili dunia ina speed kuliko venus
Nafikiri mkuu umenielewa nimeeleza kwa kirefu kama kuna wanaofaham zaid waongeze elimu haina mwisho
Hii ni kwa sababu kipenyo cha Venus ni kikubwa kuliko orbit ya Venus. Ndiyo maana revolution ni ndogo kuliko rotation.Kujizungusha kwenye mhimili Dunia inatumia saa 24(siku 1) Venus inatumia siku 243(kwa hesabu za siku za dunia). Kulizunguka jua Dunia inatumia siku 365(mwaka 1) venus inatumia siku 224.7. Natumai nimefafanua mkuu...
Sio kweli kwa concept yako... kihalisia speed ya rotation kwa venus ndio ndogo sana.Hii ni kwa sababu kipenyo cha Venus ni kikubwa kuliko orbit ya Venus. Ndiyo maana revolution ni ndogo kuliko rotation.
Kipenyo cha sayari yoyote hakiwezi kuwa kikubwa zaidi ya kipenyo cha obit yake... that means ingekuwa na mzunguko mmoja tu.Sio kweli kwa concept yako... kihalisia speed ya rotation kwa venus ndio ndogo sana.
Hapana, sidhani kama upo sahihi. Kinachodetermine kumaliza one revolution kwa sayari yoyote ni ukaribu wake na jua. Kwa maana kwamba unapokuwa karibu na jua, orbit yako inakuwa ni ndogo ukilinganisha na aliyembali na jua. Kifizikia tunasema time period (T) is proportional to the the circumference. Circumference. Kwa maana hiyo circumference ya Venus yenyewe ni kubwa ikilinganishwa na circumference ya orbit yake. Ndiyo maana Venus inawahi kumaliza mzunguko mmoja wa kulizunguka jua kabla ya kumaliza mzunguko wake mwenyewe.Naongeza kidogo dunia inapouzunguka muhimili wake au nguzo yake mzunguko mmoja ikifika ilipoanzia itakuwa imechukua masaa 24 sawa na siku 1. Utakuwa umepata usiku na mchana
Kwa venus ikiizunguka muhimili au nguzo yake ikifika ilipoanzia itakuwa imechukua siku 243 za dunia,ikumbukwe hii ni mizunguko ya kuizunguka mihimili au nguzo zake c kulizunguka jua maana yake kuna mizunguko miwili
1. kuizunguka mihimili yake au nguzo zake
2. Kulizunguka jua usichanganye mizunguko
Kulizunguka jua dunia hutumia siku 365 sawa na mwaka 1 maana yake dunia ifike ilipoanzia
Venus ikilizunguka jua ikifika ilipoanzia itakuwa imetumia cku 224.7 za dunia
Maana yake mwaka wa venus ni mfupi kuliko wa dunia
Na kwamba venus ina speed kulizunguka jua kuliko dunia
Na kwa mahesabu ya kuizunguka mihimili dunia ina speed kuliko venus
Nafikiri mkuu umenielewa nimeeleza kwa kirefu kama kuna wanaofaham zaid waongeze elimu haina mwisho
Kwani mkuu speed ya rotation ya planet inategemea nini hasa? Hebu ngoja nitafute data za diameter ya Venus na orbit yake kwanza.Sio kweli kwa concept yako... kihalisia speed ya rotation kwa venus ndio ndogo sana.
Hivi jiulize diameter / upana wa gari unaweza ukawa mkubwa zaidi ya diameter ya round about????Kwani mkuu speed ya rotation ya planet inategemea nini hasa? Hebu ngoja nitafute data za diameter ya Venus na orbit yake kwanza.
kuna vitu ambavyo navitafuta hapa ili tujue kwa nini inakuwa hivyo. Nilitumia theory ya time period. Kweli katika reality imefeli. Kuna kitu hapo.Hivi jiulize diameter / upana wa gari unaweza ukawa mkubwa zaidi ya diameter ya round about????
Unakumbuka inertia law... au first law of motion. Nafikiri ndio inayokuwa applied hapo.... uniform motion of straight line until kuwe na external force. Otherwise it will maintain the same speed. Na ndio maana scientist wanajaribu kutafuta ni sababu gani zilizoifanya venus kurotate opposite na sayari nyingine ukiondoa uranus ambayo nayo ina tabia hiyo hiyo... vile vile sayari hii orbit yake haiko uniform.kuna vitu ambavyo navitafuta hapa ili tujue kwa nini inakuwa hivyo. Nilitumia theory ya time period. Kweli katika reality imefeli. Kuna kitu hapo.