Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha nini hapa? Sijui sana Maths /(Phy) lakini kipenyo cha sayari kinakuwaje kikubwa kuliko orbit yake. Nijuavyo orbit ni imaginary path around the sun...Hii ni kwa sababu kipenyo cha Venus ni kikubwa kuliko orbit ya Venus. Ndiyo maana revolution ni ndogo kuliko rotation.
This cant be true hata kwa kutaniaHii ni kwa sababu kipenyo cha Venus ni kikubwa kuliko orbit ya Venus. Ndiyo maana revolution ni ndogo kuliko rotation.
Nimepata moja ya sababu ambayo inahisiwa katika history of planets, may be kilitokea, ni kwamba yawezekana Venus ilicollide na object nyingine ambapo average momentum ilisababisha kupunguza speed ya rotation. Ni kweli Venus inarotate from east to west na inarevolve around the sun kinyume na dunia. Hivyo ukiwa kwenye Venus jua linachomoza magharibi.Unakumbuka inertia law... au first law of motion. Nafikiri ndio inayokuwa applied hapo.... uniform motion of straight line until kuwe na external force. Otherwise it will maintain the same speed. Na ndio maana scientist wanajaribu kutafuta ni sababu gani zilizoifanya venus kurotate opposite na sayari nyingine ukiondoa uranus ambayo nayo ina tabia hiyo hiyo... vile vile sayari hii orbit yake haiko uniform.
Niliapply theory ya Period (T) ambapo period of revolution au rotation inadepend mzingo lakini katika reality imefeli. Nimejaribu kufuatilia ni nini kimesababisha hali hii, ni kwamba speed ya rotation ya Venus ni ndogo. Sababu inayohisiwa ni kwamba yawezekana Sayari hii iligongana na object nyingine angani ambapo average momentum ilisababisha kupungua kwa speed yake.Unamaanisha nini hapa? Sijui sana Maths /(Phy) lakini kipenyo cha sayari kinakuwaje kikubwa kuliko orbit yake. Nijuavyo orbit ni imaginary path around the sun...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio kweli kwa concept yako... kihalisia speed ya rotation kwa venus ndio ndogo sana.
Ilo swala la siku moja kuwa ndefu kuliko mwaka mmoja katika sayari ya Venus liliniachaga mdomo wazi wakati nipo shuleni.