MAAJABU mambo 6 ya kufahamu kuhusu sayari ya Venus iliyopo karibu na dunia

Kwa hiyo huko likianza jua ni hadi siku 122 zipite ndio giza au mwezi kama upo ndio utaonekana nao kwa siku 121 za dunian!?
 
Fungua hapa ujue zaid
Mkuu uliomba picha ya mhimili (Axis)ipo hapo
 
Attachments

  • 1479850692593.jpg
    6.1 KB · Views: 57
Inaspeed kubwa kiasi lakinj pia inasababishwa na orbit yake kuwa ndogo zaidi ya dunia...
 
Mercury inatumia siku 88 za dunia... kukamilisha mzunguko mmoja...
 
Kuna kitu kimesahaulika kuhusu venus... sayari hii inajizungusha kwenye mhimili wake opposite na zifanyavyo sayari nyingine...ni sayari mbili tu zenye sifa hii.. venus na uranus. Maana yakd nin? Ni kwamba ukiwa kwenye sayari hizi basi jua litaonekana linachomoza magharibi na kuzama mashariki..
 
Niskiapo mambo hayo mwili husisimka kwa kuona umahiri wa yule(Mungu)alifanya vitu hivi vikawepo tena katka utaratbu sahihi
 
Asante mkuu kwa nyongeza. Na pia nikwamba venus huwa kwenye. Mwanga au mchana bila giza kwa siku 121.5 sawa na miezi 4 na siku kidogo ikiwa ni mchana tu bila giza.
Vivyo hivyo na usiku pia miez 4 na siku kidogo ikiwa bila mwanga.
 
Kuimaliza Siku moja ni ndefu kuliko mwaka duuh?
Ndio, maana yake venus inajizumgusha ktk mhimili wake wakati huo huo pia inalizunguka jua, maana yake wakati inalizunguka jua yenyewe pia inajizungusha ila inajizungusha taratibu zaidi kuliko spidi yake ya kulizunguka jua, inawezekana kabisa.
 
Viumbe vinaweza ishi hao wliogundua Siku moja ni sawa mwaka mmoja waliishi wapi kweny tafit zao kipnd chote hicho na kugundua hilo may be dreams
 
Yap speed ya rotation ni ndogo sana...sana tena. Kwani circumference ya venus ni ndogo mno compate na circumference ya orbit yake.... hapa ni sawa na mwendo wa kinyonga kwa baskeli.
 
Viumbe vinaweza ishi hao wliogundua Siku moja ni sawa mwaka mmoja waliishi wapi kweny tafit zao kipnd chote hicho na kugundua hilo may be dreams
Watu wanafanya kazi usiku na mchana kuexplore na kutafuta formula za kusolve hii puzzle.... u dont need to go there.
 
Waliishi ktk sayari hii ya Dunia lakini walitumia viona mbali rotation,revolution
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…