MAAJABU mambo 6 ya kufahamu kuhusu sayari ya Venus iliyopo karibu na dunia

Hii ni kwa sababu kipenyo cha Venus ni kikubwa kuliko orbit ya Venus. Ndiyo maana revolution ni ndogo kuliko rotation.
Unamaanisha nini hapa? Sijui sana Maths /(Phy) lakini kipenyo cha sayari kinakuwaje kikubwa kuliko orbit yake. Nijuavyo orbit ni imaginary path around the sun...
 
Nimepata moja ya sababu ambayo inahisiwa katika history of planets, may be kilitokea, ni kwamba yawezekana Venus ilicollide na object nyingine ambapo average momentum ilisababisha kupunguza speed ya rotation. Ni kweli Venus inarotate from east to west na inarevolve around the sun kinyume na dunia. Hivyo ukiwa kwenye Venus jua linachomoza magharibi.
 
Unamaanisha nini hapa? Sijui sana Maths /(Phy) lakini kipenyo cha sayari kinakuwaje kikubwa kuliko orbit yake. Nijuavyo orbit ni imaginary path around the sun...
Niliapply theory ya Period (T) ambapo period of revolution au rotation inadepend mzingo lakini katika reality imefeli. Nimejaribu kufuatilia ni nini kimesababisha hali hii, ni kwamba speed ya rotation ya Venus ni ndogo. Sababu inayohisiwa ni kwamba yawezekana Sayari hii iligongana na object nyingine angani ambapo average momentum ilisababisha kupungua kwa speed yake.
 
Ukiijua newton law of gravitational motion na keeplers laws hivyo vyote kuanzia mass ya kila sayari, gravitational force, diameter ya kila sayari, diameter ya kila orbit unazipata tu kwa kucalculate haina haja ya kwenda huko juu. Ila point ya kunote '' at equilibrium centripetal force is equal to centrifugal force '', ikilijua hili plus bwana newton na keeplers law basi kazi inakuwa rais kama unashusha kitonga.(physics form V gravitational motion)
 
Kwa hiyo unaweza ukawa na siku tatu ndani ya miaka mitano duu!ngumu kumeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…