mmh nahisi umechanganya mambo...nakumbuka alikuwepo monalisa (huyu muigizaji), ted ( sasa ivi ameolewa huko America),Hivi Jockate si ndo yule alikuwa anahost kipindi cha Jackpot bingo miaka ya 2000? Tena alikuwa hivihivi kama alivyo leo?
Rahisi sana kuponda wenzenu huku mmejificha nyuma ya avatar. I bet umekomaa sura kuliko Madame Wema, bisha...
Naunga hoja yako kamanda ina mashikoWanawake wakifikia umri wa miaka 25 basi umri huganda hapo.
Hupaswi kumuuliza tena umri wake mpaka atakapo jukuu.
Wasanii wooooteee wa bongo movie huwa wanasema wana miaka chini ya 30 ika wazee kuliko wenye hio miaka zaidi ya 30
Shuzi analo kweli. Wivu tu...Uha ha ha a Pole na madam ushuzi wako
Mdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30.
Hakika haya ni maajabu
Kalenda ya mesopotaWema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Wema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Wema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Janet aliolewa akawa Janet Talawa yuko wapi siku hizi?mmh nahisi umechanganya mambo...nakumbuka alikuwepo monalisa (huyu muigizaji), ted ( sasa ivi ameolewa huko America),
hanifa (alikuja kuwa mtangazaji wa Itv kipindi cha muziki), na Janeth Mwenda ( huyu namuonaga clouds tv).
naweza kusahihishwa
Oho!!! Hatari kuanzia mwaka 2006 hadi sasa ni miaka 11. Hivyo ana miaka 28, ila kama alizaliwa tarehe 28 September 1988, hivyo ana miaka 30. Ila hakutakiwa kushiriki maana alikuwa na miaka 17 tu.Wema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?
Hiyo under twenty yako ni miaka mingapi, be specificWema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?
[emoji23] [emoji85] watu tulikua tunatambaa mpaka tumekua bado tuu ana 20'sHivi Jockate si ndo yule alikuwa anahost kipindi cha Jackpot bingo miaka ya 2000? Tena alikuwa hivihivi kama alivyo leo?
Kwanini huwa wanadanganya umri?!Ha ha a a mtu sura imemkomaa lakini anakwambia anamiaka 26