Hahaha nna mumeee..Hongera kwa uzuri wako pamoja na genes nzuri zinazokupa umbo zuri.
Lakini pia nadhani una mtu wako wa uhakika (mume au mchumba). Kama bado ungekuwa kwenye soko huria ungekuwa mgumu kidogo kuanika umri wako.
We jamaa una matusiGigi wa Wakili msomi? Sura ka Kibuyu, ila masela wanalia gizani. Huko nako wametegesha kamera siku hizi. MASELA MTAUMBUKA TU.
Wema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?
Mbona ka ana 40 hivi!! aisee 1988 hii 2017 ushakua bibi mipini yote ushaikalia. mamake walhiDuuh imebidi niingie wikipedia kutibitisha
AhahahaWema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Wema Sepetu
Irene Uwoya
Aunty ezekiel
Jackyline Wolper
Wote hawa wananishangaza wanavyosema wamezaliwa 1988 sura zao na hiyo miaka tofauti kabisa
Yani nimechekaaa kweli😀Wema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Kwhyo saiv ana 32Wema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?
Wema Sepetu (born 28 September 1988) is a Tanzanian actress and beauty contestant who won the Miss Tanzania contest in 2006 Miss Tanzania. She represented Tanzania in Miss World 2006, which was held in Poland. She later became an actress.WIKIPEDIAWema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?
Mwegelo was born on March 20, 1987, in Washington, D.C, where her parents worked. She was raised in Dar es Salaam, Tanzania. She started primary school at Olympio Primary School and attended St. Anthony High School, graduating from Loyola High School, Dar Es Salaam, Tanzania. She attended the University of Dar Es Salaam, where she graduated with a bachelor of arts degree in political science and philosophy.WIKIPEDIAMdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30.
Hakika haya ni maajabu