Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

Kumbe wa zoo?
Sioni tatizo katika hilo hususan katika kipindi hichi ambacho watu wa upinde wanatafuta kutetea hoja zao ili waendele kupotosha watu.
Yote kwa yote. Kwaiyo unasimama nao watu wa 🌈 au?
 
Yereuwiii
GLdo46VXwAErelU.jpeg
 
Hivi hawa simba hawayajui maadili yetu ya Kitanganyika au kisirani tu?

Mbona tulishaelezana sana humu kuhusiana na mila za kitanganyika mpaka tukaandika majarida!

Video imewabamba simba dume watatu katika mbuga ya Serengeti wakipandana kwa zamu na kwa hamasa ya hali ya juu sana!

Sijui ni upwiru wa nyikani ama ni nini lakini wanasayansi wa kitanganyika hawana budi kutufafanulia hili swala limekaaje katika ulimwengu wa wanyama.

Tulishaelezwa sana humu na mabingwa wenye utaalamu wa kisayansi kwamba wanyama wana akili sana ati huwa hawakosei kati ya tundu la papuchi na tundu la haja kubwa, lakini hawa simba wa serengeti wanazagamuana tu kwenye inye.

Hili swala liko kinyume kabisa na mila zetu za kitanganyika na haliakisi kabisa maadili yetu.

Sisi kama watanganyika lazima mila zetu ziheshimiwe katika mipaka yote ya nchi!! Hawa simba ni nani wa kukiuka mila zetu?

MY TAKE: Nimeshtuka hadi tumbo langu la uzazi limecheza.

View: https://youtu.be/RnRRoMdKwpk?si=33PzimEG42RQA0Fr

View: https://youtu.be/yDMtYdJoGQA?si=Z9uWaBNGnxbC2R48

Mashoga wamefurahi sana
 
Inawezekana hao wanyama wamepewa dawa (supplements) zenye kuwafanya watamaniane

Ila kwenye ufugaji wetu wote wa ng'ombe na Mbuzi sijawahi kuona Mbuzi dume ama ng'ombe dume eti anampanda mwenzie wa jinsia yake

Hizi taarifa zimeletwa hapa makusudi Kwa lengo maalumu ili Mradi dhamira yao mbaya itimie

Tuendelee kuwaombea sana Kwa Mungu watoto wetu wakike na kiume, shetani amekuwa akitumia Kila mbinu kuhakikisha anaharibu ustawi wa familia zetu.

Imagine hao Simba Kwa kufanya hivyo, wataweza kubeba mimba na kuendelea kuongezeka?
 
Inawezekana hao wanyama wamepewa dawa (supplements) zenye kuwafanya watamaniane
Hii ni mbuga ya wanyama sio ranchi ya mifugo. NO SCIENTIFIC OR HUMAN INTERVENTION ALLOWED.

Hakuna cha dawa wala protini. Kila kitu kinaenda kwa asili yake.

Tuendelee kubashiri. Labda wamerithishwa ushoga kutoka kwenye chemchemi za maji.
 
Wangekuwa porini ningeshirikiana na wewe kushangaa, ila kama hao wa kufungwa sishangai kama wamekuwa trained ili 🌈 wajiongezee wafuasi.
Yes, yes upo sahihi sana ndg Mtanganyika.

Hizi mambo zipo very organized, hivyo wanaweza kuwa wamewafundisha au kuwapa dawa za kuwaharibu mfumo wao wa kibaiology ili tu wafanikishe agenda yao.

Wakoloni si watu kabisa.
 
Hii ni mbuga ya wanyama sio ranchi ya mifugo. NO SCIENTIFIC OR HUMAN INTERVENTION ALLOWED.

Hakuna cha dawa wala protini. Kila kitu kinaenda kwa asili yake.

Tuendelee kubashiri. Labda wamerithishwa ushoga kutoka kwenye chemchemi za maji.
Wazungu wakiamua yao huwa hawashindwi.....angalia fedha wanazotoa huku kwetu katika ku-promote ushoga na matendo yananyofanana na hayo

Binafsi naamini hao Simba wamelishwa supplements kuwafanya watamaniane

Yaani haiwezekani nianze kutamani kumfanya Mwanaume mwenzangu wakati Kuna Wanawake warembo na Mafundi kitandani wamejaa tele Mtaani
 
Yes, yes upo sahihi sana ndg Mtanganyika.

Hizi mambo zipo very organized, hivyo wanaweza kuwa wamewafundisha au kuwapa dawa za kuwaharibu mfumo wao wa kibaiology ili tu wafanikishe agenda yao.

Wakoloni si watu kabisa.
Urongo.

Nani anahangaike na wanyama wa mwituni ili wewe uwaige?

Kama unaweza kushawishiwa kisaikolojia na mnyama, basi kwa hakika wewe ni bumunda kweli kweli na unastahili kuwa manipulated in all ways possible.

Hii ni video ya nyikani na hawa ni wanyama mwitu. Hakuna cha dawa wala protini.

Sheria za wanyama mwitu haziruhusu kuingilia uasili wa wanyama.

In the wild, nature takes its course. And clearly this video shows how nature is indeed gay 😂
 
Hivi hawa simba hawayajui maadili yetu ya Kitanganyika au kisirani tu?

Mbona tulishaelezana sana humu kuhusiana na mila za kitanganyika mpaka tukaandika majarida!

Video imewabamba simba dume watatu katika mbuga ya Serengeti wakipandana kwa zamu na kwa hamasa ya hali ya juu sana!

Sijui ni upwiru wa nyikani ama ni nini lakini wanasayansi wa kitanganyika hawana budi kutufafanulia hili swala limekaaje katika ulimwengu wa wanyama.

Tulishaelezwa sana humu na mabingwa wenye utaalamu wa kisayansi kwamba wanyama wana akili sana ati huwa hawakosei kati ya tundu la papuchi na tundu la haja kubwa, lakini hawa simba wa serengeti wanazagamuana tu kwenye inye.

Hili swala liko kinyume kabisa na mila zetu za kitanganyika na haliakisi kabisa maadili yetu.

Sisi kama watanganyika lazima mila zetu ziheshimiwe katika mipaka yote ya nchi!! Hawa simba ni nani wa kukiuka mila zetu?

MY TAKE: Nimeshtuka hadi tumbo langu la uzazi limecheza.

View: https://youtu.be/RnRRoMdKwpk?si=33PzimEG42RQA0Fr

View: https://youtu.be/yDMtYdJoGQA?si=Z9uWaBNGnxbC2R48

Wanyama huwa wana Fyrana sana, Twiga (Nembo ya Taifa) wenyewe 90% ya madume yake hu Fyrana, halafu kuna Simba, wenyewe huwa wana tabia ya kupozana kisela pale wanapokuwa na nyege. Mara nyingi hupandana kwa zamu. Ndiyo maana masela wengi siku hizi wanajiita Simba…michezo ya gizani
 
Back
Top Bottom