Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

Wazungu wakiamua yao huwa hawashindwi.....angalia fedha wanazotoa huku kwetu katika ku-promote ushoga na matendo yananyofanana na hayo

Binafsi naamini hao Simba wamelishwa supplements kuwafanya watamaniane

Yaani haiwezekani nianze kutamani kumfanya Mwanaume mwenzangu wakati Kuna Wanawake warembo na Mafundi kitandani wamejaa tele Mtaani
Urongo.

Hao simba ni mabwabwa ya asili, hawajalishwa cha protini wala sembe. 😂
 
Yes, yes upo sahihi sana ndg Mtanganyika.

Hizi mambo zipo very organized, hivyo wanaweza kuwa wamewafundisha au kuwapa dawa za kuwaharibu mfumo wao wa kibaiology ili tu wafanikishe agenda yao.

Wakoloni si watu kabisa.
Nakubaliana na wewe mkuu
 
Hivi hawa simba hawayajui maadili yetu ya Kitanganyika au kisirani tu?

Mbona tulishaelezana sana humu kuhusiana na mila za kitanganyika mpaka tukaandika majarida!

Video imewabamba simba dume watatu katika mbuga ya Serengeti wakipandana kwa zamu na kwa hamasa ya hali ya juu sana!

Sijui ni upwiru wa nyikani ama ni nini lakini wanasayansi wa kitanganyika hawana budi kutufafanulia hili swala limekaaje katika ulimwengu wa wanyama.

Tulishaelezwa sana humu na mabingwa wenye utaalamu wa kisayansi kwamba wanyama wana akili sana ati huwa hawakosei kati ya tundu la papuchi na tundu la haja kubwa, lakini hawa simba wa serengeti wanazagamuana tu kwenye inye.

Hili swala liko kinyume kabisa na mila zetu za kitanganyika na haliakisi kabisa maadili yetu.

Sisi kama watanganyika lazima mila zetu ziheshimiwe katika mipaka yote ya nchi!! Hawa simba ni nani wa kukiuka mila zetu?

MY TAKE: Nimeshtuka hadi tumbo langu la uzazi limecheza.

View: https://youtu.be/RnRRoMdKwpk?si=33PzimEG42RQA0Fr

View: https://youtu.be/yDMtYdJoGQA?si=Z9uWaBNGnxbC2R48

Utafiti unaonesha Hata wanyama mashoga wapo!!
So hii inawajibu wanaosema wanyama hawafanyi
 
naendelea kusoma koment, tiririkeni, BICHWA KOMWE kawakamata leo
Nilikuona kwenye uzi mmoja bila shaka hizi ni I'd za mtu mmoja. Moja unajitekenya, nyingine unacheka. Pole, we endelea kuliwa tako tu sisi tunaendelea kula mabinti wazuri ambao Mungu aliwaumba kwa ajili yetu. Kuna vitoto vya 2000's si mchezo.🥰😍🤩😘 Acha Simba tu, ungeweka hata video za Yanga ila hatuji huko ng'ooooooo. Tunakula K tu.
 
Hii dunia inapoelekea ni balaa, hadi mfalme wa nyika anakuwa upinde, sijui huyo mwenzie amempiga sound gani hadi akakubali kuchutama apelekewe moto :DojaDance:
 
Hivi hawa simba hawayajui maadili yetu ya Kitanganyika au kisirani tu?

Mbona tulishaelezana sana humu kuhusiana na mila za kitanganyika mpaka tukaandika majarida!

Video imewabamba simba dume watatu katika mbuga ya Serengeti wakipandana kwa zamu na kwa hamasa ya hali ya juu sana!

Sijui ni upwiru wa nyikani ama ni nini lakini wanasayansi wa kitanganyika hawana budi kutufafanulia hili swala limekaaje katika ulimwengu wa wanyama.

Tulishaelezwa sana humu na mabingwa wenye utaalamu wa kisayansi kwamba wanyama wana akili sana ati huwa hawakosei kati ya tundu la papuchi na tundu la haja kubwa, lakini hawa simba wa serengeti wanazagamuana tu kwenye inye.

Hili swala liko kinyume kabisa na mila zetu za kitanganyika na haliakisi kabisa maadili yetu.

Sisi kama watanganyika lazima mila zetu ziheshimiwe katika mipaka yote ya nchi!! Hawa simba ni nani wa kukiuka mila zetu?

MY TAKE: Nimeshtuka hadi tumbo langu la uzazi limecheza.

View: https://youtu.be/RnRRoMdKwpk?si=33PzimEG42RQA0Fr

View: https://youtu.be/yDMtYdJoGQA?si=Z9uWaBNGnxbC2R48

Unahamasisha Upinde kidizaini waliokutuma wamekulipa bei gani?
Wataalam wataongezea nyama apo n Dume kiongozi linaonyesha umwamba tu ila hawapigani miti.
 
Back
Top Bottom