Maajabu: Simba yaingia nusu fainali kibabe Kombe la Muungano

Wanatafutiwa pa kujiliwaza.
 
Simba wanatafutiwa kombe lolote la kuweka kabatini. Wasipokaa vizuri, KMKM itawapokonya hata hilo.
Hakuna aliyewakataza Yanga kushiriki. Kama Simba inatafutiwa kombe, basi Yanga ingeshiriki kuzuia Simba isilipate. Mashabiki wakati mwingine tuheshimu maamuzi ya viongozi wa timu zetu. Viongozi wa Yanga wameona si busara kujiingiza katika mashindano hayo, basi na mashabiki inabidi watulie wasiyafuatilie
 
Ninataka kuanzisha komne la Nguruwe. Nawakaribisha sana wana Lunyasi.
 
Duh, Viongozi wamewakatili Mashabiki wa Uto....! Ona sasa Wanalia lia..!

Msijali wana Utopolo, kwa Kuwa Muungano haujafa... Mwakani Mtashiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…