Maajabu: Simba yaingia nusu fainali kibabe Kombe la Muungano

Maajabu: Simba yaingia nusu fainali kibabe Kombe la Muungano

MUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM

Michezo hii kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD
Je, ni timu gani kutinga fainali?
#MuunganoCup #KVZSimba #AzamFCKMKM

Nb: Simba ni timu pekee duniani ....imeingia semi final bila kucheza mechi yeyote.
View attachment 2972078
Wanatafutiwa pa kujiliwaza.
 
Simba wanatafutiwa kombe lolote la kuweka kabatini. Wasipokaa vizuri, KMKM itawapokonya hata hilo.
Hakuna aliyewakataza Yanga kushiriki. Kama Simba inatafutiwa kombe, basi Yanga ingeshiriki kuzuia Simba isilipate. Mashabiki wakati mwingine tuheshimu maamuzi ya viongozi wa timu zetu. Viongozi wa Yanga wameona si busara kujiingiza katika mashindano hayo, basi na mashabiki inabidi watulie wasiyafuatilie
 
Ninataka kuanzisha komne la Nguruwe. Nawakaribisha sana wana Lunyasi.
 
Duh, Viongozi wamewakatili Mashabiki wa Uto....! Ona sasa Wanalia lia..!

Msijali wana Utopolo, kwa Kuwa Muungano haujafa... Mwakani Mtashiriki.
 
Kama Vile Mashabiki wa Utopolo Wanachachawa....!

Kujitoa Mjitoe Wenyewe....! Hlf mnapiga chabo mnachachawa Wenyewe ...!

Muungano hoyeeee!!
Muungano union [emoji23][emoji23] mbumbumbu ni kipaji
IMG_20240422_234003.jpg
 
Back
Top Bottom