uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Wapo wengi sana ndondo cup huwa zinajaza daily huku mtaaniHazina mashabiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wengi sana ndondo cup huwa zinajaza daily huku mtaaniHazina mashabiki
Une nu ubhushabhiki ndekile, sya kuti abhinangu kila siku bhikunjobha jijuune!!!!! mma ngateele.Mwikasyege fijo mkuu
Wanatafutiwa pa kujiliwaza.MUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM
Michezo hii kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD
Je, ni timu gani kutinga fainali?
#MuunganoCup #KVZSimba #AzamFCKMKM
Nb: Simba ni timu pekee duniani ....imeingia semi final bila kucheza mechi yeyote.
View attachment 2972078
Hakuna aliyewakataza Yanga kushiriki. Kama Simba inatafutiwa kombe, basi Yanga ingeshiriki kuzuia Simba isilipate. Mashabiki wakati mwingine tuheshimu maamuzi ya viongozi wa timu zetu. Viongozi wa Yanga wameona si busara kujiingiza katika mashindano hayo, basi na mashabiki inabidi watulie wasiyafuatilieSimba wanatafutiwa kombe lolote la kuweka kabatini. Wasipokaa vizuri, KMKM itawapokonya hata hilo.
😄 🤣 😂 😆Tuna itaka hii
Nataka nianzishe Kombe la nguruwe huku Dodoma. Nawakaribisha, nisaidie kufikisha habari zangu kwa Ahmed Ally ili waje kushiriki.Simba wanatafutiwa kombe lolote la kuweka kabatini. Wasipokaa vizuri, KMKM itawapokonya hata hilo.
Ninataka kuanzisha komne la Nguruwe. Nawakaribisha sana wana Lunyasi.Hakuna aliyewakataza Yanga kushiriki. Kama Simba inatafutiwa kombe, basi Yanga ingeshiriki kuzuia Simba isilipate. Mashabiki wakati mwingine tuheshimu maamuzi ya viongozi wa timu zetu. Viongozi wa Yanga wameona si busara kujiingiza katika mashindano hayo, basi na mashabiki inabidi watulie wasiyafuatilie
Muungano union [emoji23][emoji23] mbumbumbu ni kipajiKama Vile Mashabiki wa Utopolo Wanachachawa....!
Kujitoa Mjitoe Wenyewe....! Hlf mnapiga chabo mnachachawa Wenyewe ...!
Muungano hoyeeee!!
Mechi yoyote.mechi yeyote.