Haya kama si simba kwanini hamkulalamika kuwa mechi zenu zinaahirishwa bila sababu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya kama si simba kwanini hamkulalamika kuwa mechi zenu zinaahirishwa bila sababu
Hizo mechi Simba watashinda zote Sema gharama yake inaweza kuzalisha majeruhi wengi ndo tatizoSwahiba wakati mnalimbikiziwa viporo vyote hivyo mliona sawa na mkafurahia tu. Niseme tu na hili pia lifurahieni tu. Lol.
Nishaanza kuona dalili za kiporo ndani ya viporo!! 1/5/2019 siku ya mei mosi ambapo wamepanga Tz Prisons acheze na Simba siku hiyo ndio sherehe za mei mosi kitaifa zinafanyika kitaifa uwanja wa sokoine!! Na siku zote sherehe hizi viti vinawekwa mpaka ndani ya pitch.
Kwa maandalizi ya sherehe hizo ni wazi kuanzia tarehe 29/4 uwanja utaanza kupambwa. Nasubiri kuona jinsi mechi itakavyochezwa siku hiyo 🤔🤔
Poleni in Advance. 😅😅😅Hizo mechi Simba watashinda zote Sema gharama yake inaweza kuzalisha majeruhi wengi ndo tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sherehe mwisho saa nane na mgeni råsmi anaondokaga saa 6. Mpira ùnachezwa saa 10 jioni, labda kuwe na kisìngizio kīngine ila sio sherehe za mei mosiNishaanza kuona dalili za kiporo ndani ya viporo!! 1/5/2019 siku ya mei mosi ambapo wamepanga Tz Prisons acheze na Simba siku hiyo ndio sherehe za mei mosi kitaifa zinafanyika kitaifa uwanja wa sokoine!! Na siku zote sherehe hizi viti vinawekwa mpaka ndani ya pitch.
Kwa maandalizi ya sherehe hizo ni wazi kuanzia tarehe 29/4 uwanja utaanza kupambwa. Nasubiri kuona jinsi mechi itakavyochezwa siku hiyo [emoji848][emoji848]
Yanga saa 8 Simba saa 10Yanga baba Lao hata Azam TV wanajuwa.. YANGA vs Mtibwa Azam sports 2..Mikia vs Coastal Azam HD
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mateso kwa wachezaji kivipi..wakomae watoto wa kiume sio wanakua narenare kama mabibi harusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliona wap Tim ikawa Na viporo kumiUliona wapi timu inacheza mechi7 ndani ya siku 14 ?
Hapo itazalisha majeruhi wengi hata wachezaji wa timu ya Taifa wanaweza kuathirika
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri nione jinsi watakavyofanya, labda kama mechi itakua bureSherehe mwisho saa nane na mgeni råsmi anaondokaga saa 6. Mpira ùnachezwa saa 10 jioni, labda kuwe na kisìngizio kīngine ila sio sherehe za mei mosi
timu kuwa na viporo 10 imewai tokea wapi duniani
Hakuna Mbumbumbu yenye uwezo wa kujibu hili swali.Haya kama si simba kwanini hamkulalamika kuwa mechi zenu zinaahirishwa bila sababu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nzuri tu! .Ratiba ya vipora ya Simba ligi kuu imetoka na kuonyesha maajabu ya Soka kwa kulazimisha kucheza mechi 7 ndani ya siku 15 huku akilazimika kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingi ndani ya siku 2.
Ratiba ya hivi haijawahi kutokea Duniani kukote.
Hata Kama TFF wanataka kuvimaliza ligi ndani ya Muda lakini naona hii Ni mateso kwa wachezaji
Jionee mwenyewe
View attachment 1072235
Sent using Jamii Forums mobile app
kwan ni makosa ya simba au tff, TASAF FC tulizen mshono.Pay back time! Wakati mnakaa wiki 2 mnajiandaa na mechi za kimataifa mliona Raha? Sasa lipieni ujinga wenu!