Maajabu: Simba yapangiwa kucheza mechi 7 ndani ya siku 15

Nishaanza kuona dalili za kiporo ndani ya viporo!! 1/5/2019 siku ya mei mosi ambapo wamepanga Tz Prisons acheze na Simba siku hiyo ndio sherehe za mei mosi kitaifa zinafanyika kitaifa uwanja wa sokoine!! Na siku zote sherehe hizi viti vinawekwa mpaka ndani ya pitch.
Kwa maandalizi ya sherehe hizo ni wazi kuanzia tarehe 29/4 uwanja utaanza kupambwa. Nasubiri kuona jinsi mechi itakavyochezwa siku hiyo 🤔🤔
 
Yaani hawa bodi ya ligi wana shida sana. Anyway wacha tuwaachie wafanye watakavyo, kiporo ndani ya kiporo.
Nishaanza kuona dalili za kiporo ndani ya viporo!! 1/5/2019 siku ya mei mosi ambapo wamepanga Tz Prisons acheze na Simba siku hiyo ndio sherehe za mei mosi kitaifa zinafanyika kitaifa uwanja wa sokoine!! Na siku zote sherehe hizi viti vinawekwa mpaka ndani ya pitch.
Kwa maandalizi ya sherehe hizo ni wazi kuanzia tarehe 29/4 uwanja utaanza kupambwa. Nasubiri kuona jinsi mechi itakavyochezwa siku hiyo 🤔🤔
 
Nishaanza kuona dalili za kiporo ndani ya viporo!! 1/5/2019 siku ya mei mosi ambapo wamepanga Tz Prisons acheze na Simba siku hiyo ndio sherehe za mei mosi kitaifa zinafanyika kitaifa uwanja wa sokoine!! Na siku zote sherehe hizi viti vinawekwa mpaka ndani ya pitch.
Kwa maandalizi ya sherehe hizo ni wazi kuanzia tarehe 29/4 uwanja utaanza kupambwa. Nasubiri kuona jinsi mechi itakavyochezwa siku hiyo [emoji848][emoji848]
Sherehe mwisho saa nane na mgeni råsmi anaondokaga saa 6. Mpira ùnachezwa saa 10 jioni, labda kuwe na kisìngizio kīngine ila sio sherehe za mei mosi
 
Nasubiri nione jinsi watakavyofanya, labda kama mechi itakua bure
 
Back
Top Bottom