GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Hakuna mzungu yoyote anayekupenda. Usijidanganye.Lakini wanajifanya marafiki wa waafrika! Kosa ni la viongozi wetu wanawakumbatia sana; wawatimue kutoka Afrika na vimiradi wanavyo wapa. If it were me, I would better associate with Americans, Europeans than Chines!
Wamefundishwa na kukuzwa katika kuamini kwamba mtu mweusi ni mporipori asiye na akili za binadamu wa kawaida.
Wamefundishwa kuamini kwamba mtu mweusi ni mwizi, mkabaji, mbakaji, muhalifu, mtu asiyeweza kufikiri wala kujiongoza, mtu mwenye nasaba na mwonekano wa kinyani nyani na mtu mwenye magonjwa ya kuambukiza!
They won't stop from putting you into that box of stereotype much as you always prove to them and to your very selves that you are indeed low IQ chimpanzees!
Ninyi mnahitaji kukombolewa kwa miujiza ya musa ya kupiga fimbo kwenye mwamba. This time round tunahitaji musa wa kuwapiga fimbo kwenye vichwa vyenu ili umeme uwake!
Sent using Jamii Forums mobile app