Maajabu: Wanaume wa Dar siku hizi wanashindwa kumeza ugali wamehamia kwenye uji

Yaani wa Dalisalama huwa nawashangaa sana

Utawakuta wanapenda maonesho na dada zetu kule posta....haaa cha ajabu baadhi yao nao ni chakula! Na rangi za ngozi wamebreach pia sauti wanaongelea puani

Mungu anawaona jamani.
 
Wanaume wa mikoan wivu na umaskini wa akili ndo unawasumbua, ndo maana mkija mjini mnaishia ku......... , ongezeni bidii ya kilimo ila mazoa tofaut tofaut yaongezeke kwenye jiji letu ili, pia dada zenu tunawanyoosha kupitia uji uo uo tunaokunywa

Note: ugali unachangia sana kudumuza akili
 
Wakienda gengeni kununua matunda hadi ndizi wanataomba kumenyewa.
Mwanaume wa Dar akifanya matengenezo ya umeme![emoji116][emoji53][emoji53][emoji53]
Matusi haya...
Mtakuwa walaini laini mkule dona jaman ndio mana wa mikoani wanawatukana
Rafiki ww upo timu ya wanaume wa mkoani?
Yaani wa Dalisalama huwa nawashangaa sana

Utawakuta wanapenda maonesho na dada zetu kule posta....haaa cha ajabu baadhi yao nao ni chakula! Na rangi za ngozi wamebreach pia sauti wanaongelea puani

Mungu anawaona jamani.
Huyu atakua Castr hua anapigwa na NAHUJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…