Maajabu: Wanaume wa Dar siku hizi wanashindwa kumeza ugali wamehamia kwenye uji

Maajabu: Wanaume wa Dar siku hizi wanashindwa kumeza ugali wamehamia kwenye uji

Ugali kwani unapasua mawe au kulima kwa jembe la mkono au kupasua mbao.
 
TATIZO NI WIVU UMEWAJAA WANAUME WA MIKOANI.NI KAWAIDA SANA MWANAUME WA SHOKA TOKA DAR AKIFIKA MIKOANI MADADA NA MADEMU ZAO WANAANZA SHOBO.
Mademu wa mikoani huku wanawashobokea nyie sababu wanawaona kama mademu wenzao tu hamna madhara yoyote.

Mwanaume kama Ben kinyaiya hata akimshobokea demu wako huna wasiwasi nae kabisaa,na ni mwakilishi wa wanaume wa dar huyo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
7ea2605f4ba9c842ac6079cf5d28ffc3.jpg
Wanaume wa mkoani ngoja wampigie CHAPUTA FASTA huyu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
7ea2605f4ba9c842ac6079cf5d28ffc3.jpg
Mnazungumzia watoto wa dar au wanaume sasa huyoo c anakula kwao kabisa anaonekana huyoo picha yenyewe kapigwa na dada ake
 
Mi siongei nipo Mbeya sasa hivi nawamegea dada zenu tu.

Hii dozi ina mwezi wa pili, sasa kama mnaweza kazuieni daladala zinazotoka Uyole kuja Soweto kuna mtoto anakuja saa nane.
 
Hii Vita ya wanaume wa dar Na mikoani inaibua mambo mapya kila Siku . Kuna issue ya uji tena
 
Back
Top Bottom