Maajabu: Wanaume wa Dar siku hizi wanashindwa kumeza ugali wamehamia kwenye uji

Maajabu: Wanaume wa Dar siku hizi wanashindwa kumeza ugali wamehamia kwenye uji

picha Tafadhali itapendeza zaidi
 
Yan wako kasi sana juice ya mua yenyewe wanapewa na mirija ya kunywea
 
We ukitaka meza hata Vyuma ...

Wenzenu wa dar tunashindana umeingiza sh ngap kwa siku na sio umekula dona...

Mtoto wa kiume mishe muda wote hata ukishindia maji pouwa..

Endekezen kula tukija mikoani tununue mnachozalisha na madada zenu tuwagongee...

Heshima mjini hela
Umesahau wake zao nao tuna wagongaaa
 
IMG-20180301-WA0007.jpg
huyu ndo roll modal wao
 
Back
Top Bottom