Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Wakati anamuuzia mhindi mechi mpaka mikeka ikachanika hakujua kuhusu hili la kuja kuukosa ubingwa mwishoni?Wakuu ukisikia maajabu ya soka ndio haya Ajax Amsterdam ya nchini uholanzi imekosa ubingwa kimaajabu.
Mpaka mechi ya 29 huku zikiwa zimesalia mechi tano pekee, Ajax alikuwa amemuacha mpinzani wake, Psv kwa jumla ya alama tisa.
Mambo yalienda kombo kwani Ajax alipoteza mechi mbili mfululizo na kutoa sare michezo miwili na kisha kushinda mchezo mmoja wa mwisho. Huku mpinzani wake Psv akishida michezo yote mitano na kutwaa ubingwa wa erevidisie.
Sipati picha kama hili lingetokea bongo
View attachment 3338899
Usikariri kila kitu,hizo mechi za Ajax alizopoteza mwishoni niliangalia zote,Ajax katandikwa kiuwezo,mfano mechi na Utretch alipigwa vizuri hakuna makandokando walibakiwa na mechi ngumu zoteAmna maajabu uo ni upangaji wa Matokeo. Kuna watu wamefaidika na uo upuuzi ila kwa Wenzetu ilo halita pita Bure.
Wewe mbumbumbu katika ayo mambo na yako nje ya uwezo wako tulia, baada ya muda utaelewa.Usikariri kila kitu,hizo mechi za Ajax alizopoteza mwishoni niliangalia zote,Ajax katandikwa kiuwezo,mfano mechi na Utretch alipigwa vizuri hakuna makandokando walibakiwa na mechi ngumu zote
Mbumbumbu ni mama yako aliyekuzaaWewe mbumbumbu katika ayo mambo na yako nje ya uwezo wako tulia, baada ya muda utaelewa.