Maajabu ya baadhi ya makanisa: Wapo radhi kumwabudu na kumheshimu Mwamposa lakini siyo Bikira Maria kama vile alifanya kosa kubwa sana kumzaa Yesu

Maajabu ya baadhi ya makanisa: Wapo radhi kumwabudu na kumheshimu Mwamposa lakini siyo Bikira Maria kama vile alifanya kosa kubwa sana kumzaa Yesu

Biblia imetoa ruksa kuombeana walio hai
Inasema ombeaneni ninyi kwa ninyi

Ndio maana huwa tunaomba Yesu sababu yu hai na kuombeana

ila kuomba maiti ikuombee kama wafanyavyo katoliki sio sawa iwe maiti ya Maria nk

Tatizo linakuja kanisa katoliki kwenda kinyume na Biblia na kujipa mamlaka ya kutangaza nani mtakatifu hapa duniani na kutoa ruksa wakatoliki wamuombe huyo mtakatifu waliyemchonga

Biblia inatamka wa,I kitabu cha ufunuo kuwa watakatifu watajulikana siku ya mwisho ya hukumu ya mwisho wa Dunia ambapo.kila mtu atahukumiwa na kuelezwa status yake kama ni mtakatifu au la!!

Sasa hivi katoliki wako kwenye mchakato wa kutaka kumtangaza Julius Kambarage Nyerere kama mtakatifu ili wakatoliki waambiwe anzeni sala kuomba
"Na mtakatifu Nyerere utuombee" huo ni utapeli Si tusubiri siku ya mwisho Mungu mwenyewe atangaze mtakatifu nani na nani sio? Katoliki wana kiwanda Vatican cha kutengeneza watakatifu
Siku ya mwisho ni lini ?
 
Bikra maria baada ya kumzaa YESU aliendelea kunyanduliwa na yusufu kwa sababu malaika alimkataza yusufu kumuacha ,kwa hiyo bikra maria baada ya kumzaa YESU aliendelea kuwa mke wa yusufu ,na aliendelea kunyanduliwa kama kawaida na baadae alizaa watoto wengine alipozeeka alikufa na akazikwa mpaka Leo yumo kaburini ndio maana sisi walokole hatuwezi kumfanya bikra maria kama sehemu ya ibada
Kama Mungu aliamua huyo mama amzalie mwanae, wewe ni nani wa kutoa maneno ya kashfa kama hayo.

Ndugu yangu, muogope Mungu, huyo mama amebarikiwa kulika wanawake wote, thamani yake ni kubwa kuliko wanawake wote. Ni mama wa Yesu

Imagine Yesu anaposoma comment yako anakuchukuliaje?
 
Mungu ni mmoja tu kaka ni "Mungu" where does Yesu come from, Mungu ni Mungu bwana unaupeo mdogo sana wa kufikiria🤣🤣
Mungu ni Jina la office kuu yenye mamlaka ya juu na uweza kuliko mamlaka zote Mbinguni na duniani.

Mungu analo Jina tulilopewa WANADAMU lenye kuweza kuokoa ni Jina YESU.

YESU NI JINA LA MUNGU.

Muulize Roho mtakatifu akuthibitishie.

Unaabudu usichokijua.
 
Bikira huvunjika kwa pande mbili moja kwa kuingiliwa na mwanaume bikira huondoka

Ya pili bikira huondoka kwa kuzaa Mwanamke akizaa pale anapotokea mtoto bikira huondoka

Maria bikira yake iliondoka kwa kuzaa Yesu sababu ile mimba haikuwa ya binadamu

Sasa kama alizaa na bikira ikaondoka kanisa katoliki linapata ujasiri wapi wa kuendelea kumuita Bikira Maria kama sio utapeli.Huo utapeli makanisa mengine ndio waliugomea ndio masna huwezi kusikia wakisema Bikira Maria mama Mungu au wa Yesu.Husema tu Maria mama yake Yesu Sababu wana uelewa mkubwa kuliko wakatoliki
Bikira ni mwanamke mwenye bikira
Maria Mama yake Yesu bikira ilitoka alipozaa Yesu
Bikra siyo ile physical hymen, which needs to be perforated, its pureness, Immaculate, with no sins

God can never dwell in a sinful person, so Virgin Mary is pure
 
Bikira Maria ni binadamu tu wa kawaida....kumweka kwenye mzani na Roho mtakatifu ni kufuru.

Acha kabisa hili chief.
Bikra Maria ana roho Mtakatifu ndani yake . Au roho Mtakatifu anaishi wapi kama sio ndani ya mwili wa mtu ?
 
Bikra Maria ana roho Mtakatifu ndani yake . Au roho Mtakatifu anaishi wapi kama sio ndani ya mwili wa mtu ?
Roho mtakatifu huishia ndani ya mtu ni kweli......na Roho mtakatifu ndiye mwenye uwezo wa kutusaidia kuomba mbele za Mungu na sio Mwanadamu Maria
 
Yesu wapi alitoa maagizo kuwa Yeye akifa na mama yake akifa watu wawe wanaenda kumuomba marehemu mama yake awaombee kwa Mungu au waende kuwaomba mitume waliokufa wawaombee kwa Mungu
Yesu baada ya kufufuka alowatokea mitume na watu mbali mbali na akawapa maagizo, ni sawa?

Maagizo hayo yakaandikwa kwenye Biblia, ni sawa?

Je baada ya Biblia kuandikwa, Yesu hajawatokea tena watu wengine na kuwapa maagizo?

Kama aliwatokea, maagizo hayo tunayaweka wapi?

Kanisa katoliki linaamini Yesu bado anafanya kazi, hajafa huko mbinguni, inapotokea mambo ambayo anashindwa kuvumilia anakuja anawapa watu miongozo kama kawaida, sasa ni juu yako wewe na mimi kuikubali au kuikataa

SIsi wakatoliki, tunao ma-padre ambao walikua na physical encounter na Yesu, mfano PADRE PIO, huyu mwamba alikua anapoke amaagizo kutoka kwa Yesu, AMEFARIKI LAKINI MWILI WAKE HAUJAOZA MPAKA LEO, hayawa mummified ni by grace of God


Yupo St. Maria Faustina, jifunze kuhusu Devine Mercy and how to recite the chaplet of Devine mercy
 
Anayestahili kuabudiwa ni mmoja tuu naye ni Mungu mwenye Enzi

Hao wengine wote wanaweza kupewa sifa kwa vile Mungu anavyowatumia lakini utukufu ni kwa Mungu mkuu Yesu Kristo

Maria anaheshimiwa sana na wakristo na waislamu pia. Sio mchezo maana ilichukua miaka mingi haswa tangu unabii wa kuzaliwa kwa Kristo hadi kupatikana kwa tumbo lililoweza kumbeba... haikuwa rahisi
Nataka nieleweshe, Yesu ni Mungu?
Alipokuwa dunia alikua anamzungumzia Baba..je ni baba gani?

Mimi naamini Yesu kristo ni njia ya ukweli na uzima bila yeye siwezi kufika kwa Mungu(Yahwe,Yehova).

Hivi vitu usipotafakari vinachanganya..
Hoja za dini kuna hitaji kukosoa kwa hekima mana ni elimu pana.
 
Bikra siyo ile physical hymen, which needs to be perforated, its pureness, Immaculate, with no sins

God can never dwell in a sinful person, so Virgin Mary is pure
Hakuna mtu anakataa purity ya mtu kuzaa mfano kafunga ndoa hana dhambi hata moja na ni bikira

Ubikira wake utaondoka akiingiliwa na mumewe wa ndoa lakini aweza tu kuendelea kuwa pure na sio sinful sababu hajatenda dhambi bikira kuondoka lakini sifa ya kuitwa bikira haitakuwepo tena kwake

Kwa Maria ni vivyo hivyo alikuwa pure na bikira lakini baada ya kuzaa Yesu Bikira iliondoka ili Yesu atoke azaliwe

Kuondoka Bikira sio kuwa huyo mtu ni mdhambi la hasha akiwemo Maria

Kinachogomba hapa tofauti na ukatoliki na madhehebu mengine ni kukomaa tu kwa wakatoliki kuamini kuwa baada ya Maria kuzaa Yesu,huyo Maria alibaki bikira vilevile huo ni uongo tena uliokubuhu .Hakuna dhehebu nje ya ukatoliki linasema Maria alikuwa mwenye dhambi kumzaa Yesu kinachokataliwa ni jicho cha kusema Maria ni Bikira wakati kazaa

Bikira sio neno complicated la kisomi ni neno rahisi mno hata waswahili wasioenda shule wanajua na wanajua bikira huondokaje

Maria baada ya kuzaa ni Maria mama yake Yesu .Kusema Bikira Maria mama yake Yesu ni contradiction na utapeli.Mama mzazi wa mtu hawezi kuwa Bikira.Haipo hiyo.
 
Hakuna mtu anakataa purity ya mtu kuzaa mfano kafunga ndoa hana dhambi hata moja na ni bikira

Ubikira wake utaondoka akiingiliwa na miumewe wa ndoa lakini aweza tu kuendelea kuwa pure na sio sinful sababu hajatenda dhambi bikira kuondoka lakini sifa ya kuitwa bikira haitakuwepo tena

Kwa Maria ni vivyo hivyo alikuwa pure na bikira lakini baada ya kuzaa Yesu Bikira iliondoka ili Yesu atoke azaliwe

Kuondoka Bikira sio kuwa huyo mtu ni mdhambi la hasha akiwemo Maria

Kinachogomba hapa tofauti na ukatoliki na madhehebu mengine ni kukomaa tu kwa wakatoliki kuamini kuwa baada ya Maria kuzaa Yesu alibaki bikira uongo tena uliokubuhu .Hakuna dhehebu nje ya ukatoliki linasema Maria alikuwa mwenye dhambi kumzaa Yesu kinachokataliwa ni jicho cha kusema Maria ni Bikira wakati kazaa

Bikira sio neno complicated la kisomi ni neno rahisi mno hata waswahili wasioenda shule wanajua na wanajua bikira huondokaje

Maria baada ya kuzaa ni Maria mama yake Yesu .Kusema Bikira Maria mama yake Yesu ni contradiction na utapeli.Mama mzazi wa mtu hawezi kuwa Bikira.Haipo hiyo.
Mkuu, kwa hivyo wewe ukitoa vitu tumboni unaondoa bikira ya kinyeo, maana yake wewe hauna marinda?

Ukianza kuingiliwa na blunt objects ndiyo hapo tunasema umetolewa marinda
 
Mkuu, kwa hivyo wewe ukitoa vitu tumboni unaondoa bikira ya kinyeo, maana yake wewe hauna marinda?

Ukianza kuingiliwa na blunt objects ndiyo hapo tunasema umetolewa marinda
Hueleweki uliichoandika Weka vizuri nikujibu
Au humu kama kuna aliyekuelewa afafanue vizuri unamaanisha nini
 
Siku ya mwisho ni lini ?
Hakuna ajuaye siku wala saa ila siku hiyo Mungu ndio atatangaza nani mtakatifu sio kama sasa kanisa katoliki linajipa mamlaka ya kutangaza nani mtakatifu na kuwaambia waumini dua zao wakaombe huko kwa huyo.marehemu mtakatifu wao waliyemmchonga k8wanda cha kutengeneza watakatifu Vatican

Tanzania tuko mbioni kupata mtakatifu mzanaki Marehemu Julius Nyerere watu waanze kumuomba Nyerere awaombee kwa Mungu
 
Hakuna ajuaye siku wala saa ila siku hiyo Mungu ndio atatangaza nani mtakatifu sio kama sasa kanisa katoliki linajipa mamlaka ya kutangaza nani mtakatifu na kuwaambia waumini dua zao wakaombe huko kwa huyo.marehemu mtakatifu wao waliyemmchonga k8wanda cha kutengeneza watakatifu Vatican

Tanzania tuko mbioni kupata mtakatifu mzanaki Marehemu Julius Nyerere watu waanze kumuomba Nyerere awaombee kwa Mungu
Walokole hamna uelewa wa ndani kuhusu siku za mwisho . Mungu anafanya kazi kupitia Kwa mitume wake ambao ndio hao Kanisa Katoliki . Ni jambo jema Nyerere kuwa mtakatifu.
 
NIPE andiko, ni wapi imeandikwa ndugu yangu,

Hivi nani amewaroga wakatoliki kudanganywa kuwa Mariamu hakufa?
Anayekuw ni mwenye dhambi. Kifo ni matokeo ya dhambi. Bikira alikingiwa dhambi ya asili
 
Jamaa alimkimbia mkuu😂😂😂
Ndipo akaotokea malaika akamwambia usimkimbie maria mkeo! Hiyo mimba ni kwa uwezo wa roho mtakatifu lkn kama ingekuwa kimya kimya jamaa alikuwa kashatembea MITA.

Yaani sahwwaaaaaaaaaah

Mathayo 1:19-20 Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.


Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Hahaha dah mwanangu umenifurahisha sana kwa hili andiko. Vijana wa leo wangemwita Yusufu SIMP..
 
Wewe ni mlevi wa Konyagi unayemcheka mlevi wa gongo. Kuna u-special gani kwa Maria kumzaa Yesu? Kanisa Katoliki ningewaona wajanja kama wangempa umuhimu Yosefu aliyekubali bila kusitasita kuwa ile mimba ilikuwa ya roho mtakatifu na sio mwanaume mwingine. Kijana gani wa sasa ambaye anasubiria kumuoa mchumba wake bikra halafu ghafla mchumba apate mimba na kudai ni kwa ya roho mtakatifu atakubali kuendelea kumuoa?
Mtakatifu Yosefu Anapewa Heshima Kubwa Na Kanisa Katoliki Kote Ulimwenguni.

Soma Litania Ya Watakatifu Wote.
 
Walokole hamna uelewa wa ndani kuhusu siku za mwisho . Mungu anafanya kazi kupitia Kwa mitume wake ambao ndio hao Kanisa Katoliki . Ni jambo jema Nyerere kuwa mtakatifu.
Mungu Wapi aliwapa mandate au nguvu ya kisheria yaani power of attorney ya wakatoliki wao kutangaza binadamu yupi mtakatifu kabla ya kiyama ambacho Mungu mwenyewe kiyama kikifika ndie atasema yupi mtakatifu na yupi sio
Na kuwa ombeni kwa marehemu the so called watakatifu waliozalishwa na kiwanda cha kufyatua watakatifu Vatican

Sasa hivi kiwanda Vatican kinajiandaa kufyatua mtakatifu mpya Julius Kambarage Nyerere aliyepora mali za watu waliozipata kihalali kwa jasho lao kipindi cha azimio la Arusha na kutaifisha shule za kanisa katoliki nk walizojenga kwa jasho la sadaka za waumini na kuzifanya za serikali wakati serikali haikuwekeza hata shilingi moja Leo kiwanda cha Vatican kinataka ku process mtakatifu mpya Julius Kambarage Nyerere mtaifishaji shule za kanisa katoliki nk

Inauma sana hata mkizomea walokole kuna maeneo wakatoliki vichwani wako sifuri hata kama wako Vatican

Nyerere naye wa kuingizwa kiwanda cha ku process watakatifu Vatican kweli

? Something is wrong in Vatican
 
Ndio ni Mungu Katika Asili na Binadamu katika Asili ikiwa na maana kiumbe yeyote hubeba Asili kutoka kwa wazazi wake
Yesu pia Asili yake ni Mungu Moja kwa Moja maana hana biological father na ndio maana anaitwa Neno,
Hii ndio maana tangu kuzaliwa kwake mpaka anapaa alikua na Asili ya Utakatifu (Uungu)
Ndani yake kumbuka Mtakatifu pekee ni Mungu na sisi binadamu wa kawaida tuna Asili ya Dhambi kwa kosa la Adamu
Hivyo hiyo Moja kwa Moja inamfanya Yesu Kristo kua
Mwana wa Adam na vile vile ni Eternal Son of God!
Kwa mantiki hiyo ata sisi binadamu tuna uungu kwa sababu tumeumbwa na Mungu
 
Back
Top Bottom