Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,461
Falconi ni wa majini?Ni kweli ila hapo mtoa mada amesema kwa wanyama wa nchi kavu anaeongoza ni cheetah
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Falconi ni wa majini?Ni kweli ila hapo mtoa mada amesema kwa wanyama wa nchi kavu anaeongoza ni cheetah
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndege nae ni mnyama🙂Unazungumzia wanyama au ndege?
Speed ya kipanga ni hatari sana. Sidhani kama kuna kiumbe mwngine anafakia pale.Ni kweli kipanga ndiyo anaongoza, watu wenye akili tukikaa kimya uongo huu utaaminika
Nimesema huyo mnyama ndiye anayeongoza kwa kukimbia umbali mrefu bila kupumzika kuliko wanyama wote porini,pia unatakiwa uwe na uelewa wa Tabia za wanyamapori,huyo mnyama huwa anachagua mnyama wa kula kwenye kundi kwa hiyo huwa anakimbikiza hadi amkamate huyohuyo haijalishi atamkimbikiza kwa muda gani hata kama siku nzima,,.......................Mkuu siku nzima anakimbiza nini bro...analipwa ndo useme anakimbilia sifa?hakuna mnyama fala atakimbiza windo lake kwa lot of kilometers wakati humo porini wapo wengine kwa ajili yake.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Safi ila umeandika faster,sehemu nyingine umenichanganya.typinga 97km/h ,bandiko la picha 93km/h.
Pia weight 39kg-65kg then 29-65kg.
Apo ntamchanganya mwanafunzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheetah ujanja wake wote kumbe ni muoga hata kwa Fisi 😂😂Duma ndo cheetah, Leopard ni chui , Jaguar hawa wanapatikana Sana Asia na ni wakubwa kuliko chui, Tiger hawa wanapatikana Sana America , ni wakubwa kuliko jaguar na madoa makubwa ya njano na ni wanene , wote ni jamii ya paka, katika wote hao muoga ni Duma
hata kwa bunaadam.anapigwa na chui japo kamzidi mbio na urefu.Huyo
Cheetah ujanja wake wote kumbe ni muoga hata kwa Fisi [emoji23][emoji23]
Hata Kwa nyani akiwa zaidi ya mmoja.Huyo
Cheetah ujanja wake wote kumbe ni muoga hata kwa Fisi 😂😂
enzi nakua nikawa naambiwa farasi anakimbia kuliko kiumbe yeyote duniani mpaka moto unatoka chini[emoji23][emoji23][emoji23].Hawa wanyama asili ya paka siwezi kuwatofautisha.
Huyu duma anaweza kukimbia umbali gani?
Uliposema 93kmph nikawaza akitoka mwanza asubuhi anaingia mchana Arusha...kumbe hiyo speed ni 300m only?
Wewe ndiyo unasemaNi kweli ila hapo mtoa mada amesema kwa wanyama wa nchi kavu anaeongoza ni cheetah
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kaa kimya hujui kituMbona nahisi wewe ndie uliyekurupuka kumkosoa mwenzako? Pelegrine Falcon yupo class ipi ya wanyama? Sio ndege?
Sent from my iPhone using Tapatalk Pro
kipanga ni tatizo,fikiria speed ile ya njiwa lakini anasanda mpaka inabidi atumie busara kujinasua kwenye target za msela.Speed ya kipanga ni hatari sana. Sidhani kama kuna kiumbe mwngine anafakia pale.
Alipuuza huo ufafanuzi, Sasa mwache ajifunze the hard wayNadhani kosa ni wadau kutokufafanua,ingesemwa “ndiye mnyama wa ardhini mwenye speed kuliko wote”,huyu ndege akajulikana mnyama mwenye speed kuliko wote wanaoruka.
Pia imekuwa ikisemwa nyoka aina ya Black Mamba naye ana mbio kali pale so shida ni ufafanuzi tu hakuna uwongo wowote hapo.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Soma mada utaona Kama hajabadiliUnazungumzia wanyama au ndege?
Ndege ni mnyama ganiNdege aitwae falcon peregrin naskia ndie anayekimbia kuliko wote porini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Falconi ni wa majini?
Wewe ndiyo unasema
Soma mada uieleweNdio na ndo hivyo kuwa cheetah ni fastest land animal duniani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu ni mnyama mlevi, Kuna mwaka alidhamini Taifa Stars