Maajabu ya Cheetah Mnyama anayekwenda kwa kasi zaidi kuliko wanyama wote wa porini

Maajabu ya Cheetah Mnyama anayekwenda kwa kasi zaidi kuliko wanyama wote wa porini

Hawa wanyama asili ya paka siwezi kuwatofautisha.

Huyu duma anaweza kukimbia umbali gani?
Uliposema 93kmph nikawaza akitoka mwanza asubuhi anaingia mchana Arusha...kumbe hiyo speed ni 300m only?
 
.......................Mkuu siku nzima anakimbiza nini bro...analipwa ndo useme anakimbilia sifa?hakuna mnyama fala atakimbiza windo lake kwa lot of kilometers wakati humo porini wapo wengine kwa ajili yake.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Nimesema huyo mnyama ndiye anayeongoza kwa kukimbia umbali mrefu bila kupumzika kuliko wanyama wote porini,pia unatakiwa uwe na uelewa wa Tabia za wanyamapori,huyo mnyama huwa anachagua mnyama wa kula kwenye kundi kwa hiyo huwa anakimbikiza hadi amkamate huyohuyo haijalishi atamkimbikiza kwa muda gani hata kama siku nzima,,
Unavyowaza kwamba wanyama wapo wengine anaweza kumgeukia mnyama mwingine kama wanavyofanya wanyama wengine sio sahihi,huyu mnyama yupo tofauti kabisaaaaaa!!!
 
Huyo
Duma ndo cheetah, Leopard ni chui , Jaguar hawa wanapatikana Sana Asia na ni wakubwa kuliko chui, Tiger hawa wanapatikana Sana America , ni wakubwa kuliko jaguar na madoa makubwa ya njano na ni wanene , wote ni jamii ya paka, katika wote hao muoga ni Duma
Cheetah ujanja wake wote kumbe ni muoga hata kwa Fisi 😂😂
 
Huyo
Cheetah ujanja wake wote kumbe ni muoga hata kwa Fisi [emoji23][emoji23]
hata kwa bunaadam.anapigwa na chui japo kamzidi mbio na urefu.

ndio maana picha zake utamkuta hata kwenye gari za watalii,ni mnyama mtata akiwa anatafuta chakula kama anaconda.ila kawaida ni bwege tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wanyama asili ya paka siwezi kuwatofautisha.

Huyu duma anaweza kukimbia umbali gani?
Uliposema 93kmph nikawaza akitoka mwanza asubuhi anaingia mchana Arusha...kumbe hiyo speed ni 300m only?
enzi nakua nikawa naambiwa farasi anakimbia kuliko kiumbe yeyote duniani mpaka moto unatoka chini[emoji23][emoji23][emoji23].

ah maisha nayo bana sijui watu wengine wakoje!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Speed ya kipanga ni hatari sana. Sidhani kama kuna kiumbe mwngine anafakia pale.
kipanga ni tatizo,fikiria speed ile ya njiwa lakini anasanda mpaka inabidi atumie busara kujinasua kwenye target za msela.

kuna moja nilishuhudia alimpeleka akaenda kumuacha kwenye nyaya za umeme,kipanga aliacha manyoya mengi sana hapo,akaahirisha hata kuwinda tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kosa ni wadau kutokufafanua,ingesemwa “ndiye mnyama wa ardhini mwenye speed kuliko wote”,huyu ndege akajulikana mnyama mwenye speed kuliko wote wanaoruka.

Pia imekuwa ikisemwa nyoka aina ya Black Mamba naye ana mbio kali pale so shida ni ufafanuzi tu hakuna uwongo wowote hapo.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Alipuuza huo ufafanuzi, Sasa mwache ajifunze the hard way
 
Falconi ni wa majini?

Falcon ni wa angani
Hio speed yake ya 340kmh huwa anaifikia pale anapodive akiwa angani

Cheetah ndo fastest land animal hakuna mwingine mwenye speed kama yeye


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom