HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Mchina anahangaika na kuimaliza Corona halafu apoteze muda tena kuijaza Corona kwenye Mask halafu awauwe haohao wa communist wenzake, hata kwa akili ya darasa la saba hili haliwezekani na tatizo huyu Bwana Mkubwa anapokea tu maneno mazima mazima na kuyatapika, Nchi za Ulaya walizokataa mask za mchina walisema hazina viwango lakini siyo kwamba vina Corona
Bingwa wa kemia bhana alikuwa wapi siku zote yani ugonjwa umesambaa ndo anijidai kuja kulete ukemia yani raisi mzima haha, anaongea na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama duuuuh hii imenikosha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana nimesema watoto hawawezi kumwelewa JPM, huwenda wewe ni mmoja wao. Wakubwa wanajuaUlishawahi kujifukiza kwa mvuke wenye joto la 100ºC? Acha kamba zako wewe!
Nadhani wengi humu ni watoto sana ndiyo maana wanashangaaa issue ya kujifukiza. Wenye umri unaozidi 50 years wamemuelewa JPM.
Ni hili la tiba mbadala, ilitakiwa wizara iruhusu muda mrefu. Tumekuwa dependant mpaka tumekuwa wajinga Wa kutosha.
Hongera Rais
Ndiyo maana nimesema watoto hawawezi kumwelewa JPM, huwenda wewe ni mmoja wao. Wakubwa wanajua
Kwenye ugonjwa Wa aina ya corona, siraha yoyote unayoshauriwa kutumia, tumia. Mtu hawezi kukushauri kitu ambacho hakijawahi kutumika huko nyuma.Haya Mzee mzima na Msaidizi wa Mkemia Bingwa Tanzania kama wewe umemwelewa hebu jaribu ku-share huo ufafanuzi wa utafiti huu! Karibu.
Mkuu kwani rais hajui kazi za TBS na TFDA?Hujamuelewa!
Hajasema hazifai, ila kasema kama zinatoka nje ziangaliwe zisije kuwa chanzo cha kueneza corona. Na akasema anawapongeza wale wanaojishonea wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani hiyo ni pure stori ya vijiweni ajabu imeletwa na raisYaani Mchina anahangaika na kuimaliza Corona halafu apoteze muda tena kuijaza Corona kwenye Mask halafu awauwe haohao wa communist wenzake, hata kwa akili ya darasa la saba hili haliwezekani na tatizo huyu Bwana Mkubwa anapokea tu maneno mazima mazima na kuyatapika, Nchi za Ulaya walizokataa mask za mchina walisema hazina viwango lakini siyo kwamba vina Corona
Kwenye ugonjwa Wa aina ya corona, siraha yoyote unayoshauriwa kutumia, tumia. Mtu hawezi kukushauri kitu ambacho hakijawahi kutumika huko nyuma.
Ni kwa sababu ya ubishi watu tunashindwa kutumia shauri mbalimbali ambazo waafrika wenzetu walioexperience huu ugonjwa huko ulaya wametumia na wamepona.
Ukiuliza wangapi wanajiandaa kuimarisha kinga kwa kutumia limau na maji ya moto au mchanganyiko Wa tangawizi na limau kabla ya kukumbwa na corona sijui kama utawapata.
Wanabodi,
Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.
Je, bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?
Andamana nami.
1. Background, Professionalism
Tangu kuanza kwa janga hili la Corona, mimi kama Mtanzania Mzalendo nimeshiriki kikamilifu katika vita hii kikamilifu katika maeneo 5
Hivyo kwenye hayo maendeleo 5 nimeshiri kwa kutoa maoni mbalimbali, miongoni mwake ni ule ushauri wangu wa mwanzo kuwa zipo wizara zinaweza kuongozwa na Waziri mwanasiasa yoyote, lakini kuna wizara zinazo deal na technical issues, zinapaswa kuongozwa na ma professionals. Moja ya wizara ya Afya, ilipaswa kuongozwa na daktari bingwa na sio a layman kwenye medical field.
- Kama Mtanzania tuu wa kawaida
- Kama Mwana jf
- Kama mwandishi wa habari mzoefu
- Kama mtangazaji wa TV Nguli
- Kama mtu mwenye exposure.
Tulipoanza tuu ile siku Waziri wa Afya akiwa daktari Bingwa kwa jina la Janet akizungumzia kuvaa face mask, daktari huyo akiwa mbele ya Waziri wa Afya alisema face mask zitavaliwa na madaktari tuu wanaohudumia wagonjwa. Nikapandisha bandiko humu na kusema it's not right kwasababu kama inachukua siku 14 kuibaini Corona kwa aliyeambukizwa, how will one knows hivyo to be on a safe side ni watu wote wavae facemasks kama China. Waziri angekuwa daktari pale pale angejua.
Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums
2. Mazungumzo na Naibu Waziri wa Afya
Kuna siku nimezungumza na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile, kama ilivyo kawaida yangu, mimi huwa nina maswali magumu. Miongoni mwa maswali niliyomuuliza Dr. Ndugulile ni swali la kwa vile Corona haina dawa, jee anaweza kueleza hao wagonjwa kwenye vituo vya matibabu wanafanywa nini au wana hudumiwa huduma gani ili Watanzania wenye uwezo waweze kuwahudumia wagonjwa wao ambao hawajazidiwa ili kuzuia hospitali zisielemewe. Dr. Alinigomea!.
Kisha nikamuuliza kwa vile Corona ni mafua, kwanini Wizara ya Afya isihamasishe alternative medicine ya watu kujitibu ili wengine wamalizane nayo juu kwa juu bila kuisumbua serikali na kupelekwa vituo vya huduma?.
Pia swali hili alinigomea na kusisitiza kila mwenye dalili aripotiwe.
Kwa kutumia uzoefu wangu wa exposure, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile alikuwa ana majibu yote tena ya kidakitari, lakini kwa vile yeye sio Msemaji rasmi, Msemaji rasmi ni Waziri wake, na Waziri sio daktari, Dr. Ndugulile aliogopa kusema akapishana na Waziri wake, lakini Waziri wa Afya angekuwa ni daktari Bingwa, Dr. Ndugulile angezungumza.
Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV - JamiiForums
Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona - JamiiForums
3. Bingwa wa Kemia Aingilia Kati
Hayo maswali mawili magumu niliyo muuliza Naibu Waziri wa Afya Dr. Faustine Ndugulile ambayo yalitakiwa kujibiwa na madaktari Bingwa wa tiba, leo yamepatiwa majibu badala ya kupatiwa majibu na madaktari Bingwa wa tiba, kitu cha ajabu sana kuhusu mapambano dhidi ya janga la Corona nchini Tanzania, maswali hayo yamepatiwa majibu na Bingwa wa Kemia.
Tanzania tulizoea viongozi wetu wakuu wa kisiasa huwa ni wanasiasa, hivyo ulipo tokea Bingwa wa Kemia alipoutaka urais, kiukweli kuna watu humu tulimshangaa!, tangu lini Bingwa wa Kemia akawa kiongozi wa siasa kuwa mkuu wa nchi?.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums
4.
Bingwa wa Kemia ametoa ushauri wa Kikemia kuwa vurusi vimeumbwa cells za protein in nature na kuzungukwa fatty acid hivyo vinayeyushwa au kwa kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka au sanitizers ambazo kikemia ni alcohol ambazo zinawayeyusha kwa kuyasaga mafuta au mvuke wa nyuzi joto kubwa una destroy protein in nature inakuwa destroyed by heat.
Bingwa wa Kemia amewataka Watanzania kuendelea kufuata maelekezo ya kitaalamu ya kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona ila pia na kutumia tiba mbalimbali za asili na tiba mbadala kupambana na Corona kwa kunywa tangawizi, vitunguu swaumu, au hata kujifukiza, vitu ambavyo Watanzania walipaswa kufundishwa na madaktari Bingwa wa tiba, badala yake sasa ni Bingwa wa Kemia ndio amekuwa mkombozi wa taifa letu katika vita hii dhidi ya Corona.
Ushauri huu wa Bingwa wa Kemia ndio ukombozi wa Taifa letu dhidi ya janga la Corona, kwasababu naamini kuna wengi wameugua Corona na wakajitibia kwa njia za asili na tiba mbadala na wakapona, hivyo kama kila Mtanzania akiona tuu dalili kwa mbali akaanza na huduma ya kwanza ya homeopathy treatment kwa kutumia natural remedies na treatments na alternative medicine tunaweza kuliokoa taifa letu zaidi kuliko kuwategemea hawa madaktari Bingwa wetu wa tiba za kisasa mahospitalini ambao ni mabubu huku mabingwa wa Kemia ndio wakilisaidia taifa!.
Mpaka hapa nilipofikia, bado kuna haja ya mimi kumtaja huyu bingwa wa Kemia?
Asanteni
Paskali

Kuhusu Kujifukiza Sipingani na Mkemia Rais Dokta John Pombe Maghufuli.
Ninahisi Nilipona Korona Kwa Kujifukiza. Nilipata Homa Kali ikafuatiwa na Kikohozi Kikali Sana.
Mfukizo ulikuwa na limao na maganda take, Tangawizi na Kitunguu Saumu.
Mfukizo uliletwa ndani ya sufuria nami huku nimekaa mkao wa kibudha nikajifunika na Blanket huku Sufuria yenye mfukizo ikiwa ndani ya blanket inaleta mvuke mwingi puani. Nikawa navuta mvuke puani nautoa mdomoni Mara kadhaa.
Hakika Nilipona usiku ule.
Mungu ametubarikia Mimea tuitumie kwa Afya Zetu.
Mungu awabariki.
Jidu La,Mkuu you are out of your mind.
Uliza Profesa Janabi yuko wapi aliyeanza toka awali kutoa taarifa za kitibabu na akapigwa stop.
Huyu nguli wa kemia fani anayoweza kuimudu sawa sawa ni kwenye mabarabara tu huku kwingine chenga tu.Naodha karudi