Hakumaanisha hivyo jamaa yangu! A!likuwa akiuelezea mvuke, na maana yake kiuhalisia!Kwamba uchemshe pua na maji C 100
Hii hotuba Dah nimefikiria mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba uchemshe pua na maji C 100
Hii hotuba Dah nimefikiria mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabodi,
Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.
Je, bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?
Andamana nami.
Karibu.
Paskali
Watu wanaangamia kwakukosa maarfa hii mkuu unanikumbusha. Wakati Niko Mdogo baba yangu akiwa hana hela hasa kipindi cha mwezi Wa tatu mpaka Wa sita ukiumwa kichwa yanachomwa mavi ya ngombe unanusa mwoshi wake unaambiwa ndiyo Dawa ya kichwa kumbe ni hela ya aspirini baba hana sasa na mkemia mkuu lazima aje na chemical mbadala kwakuwa ni kama alivyokuwa anatumia babangu Mungu atunusuru na hili
Bingwa wa kemia badala angehutubia mabingwa wa afya na wizara yote yeye anaenda kuhutubia wizara ya ulinzi na wakuu wake.Wanabodi,
Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.
Je, bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?
Andamana nami.
1. Background, Professionalism
Tangu kuanza kwa janga hili la Corona, mimi kama Mtanzania Mzalendo nimeshiriki kikamilifu katika vita hii kikamilifu katika maeneo 5
Hivyo kwenye hayo maendeleo 5 nimeshiri kwa kutoa maoni mbalimbali, miongoni mwake ni ule ushauri wangu wa mwanzo kuwa zipo wizara zinaweza kuongozwa na Waziri mwanasiasa yoyote, lakini kuna wizara zinazo deal na technical issues, zinapaswa kuongozwa na ma professionals. Moja ya wizara ya Afya, ilipaswa kuongozwa na daktari bingwa na sio a layman kwenye medical field.
- Kama Mtanzania tuu wa kawaida
- Kama Mwana jf
- Kama mwandishi wa habari mzoefu
- Kama mtangazaji wa TV Nguli
- Kama mtu mwenye exposure.
Tulipoanza tuu ile siku Waziri wa Afya akiwa daktari Bingwa kwa jina la Janet akizungumzia kuvaa face mask, daktari huyo akiwa mbele ya Waziri wa Afya alisema face mask zitavaliwa na madaktari tuu wanaohudumia wagonjwa. Nikapandisha bandiko humu na kusema it's not right kwasababu kama inachukua siku 14 kuibaini Corona kwa aliyeambukizwa, how will one knows hivyo to be on a safe side ni watu wote wavae facemasks kama China. Waziri angekuwa daktari pale pale angejua.
Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums
Karibu.
Paskali
Pole sana. Alikuwa na shida nyingine before Coronavirus ?Pole sana.Donar country tutembee kifuwa wazi tuko vizuri ila mkuu nasikitika corona imemwondoa dada yangu ila machungu yapo pale wanapomzika wao
Matokeo ni homa kuzidi kupamba moto
Ndiyo alikuwa na shida nyingine vipomo vikaonesha ana maambukizi kupelekwa loganzila na kifo kikampataPole sana. Alikuwa na shida nyingine before Coronavirus ?Pole sana.
Pole sana.Ndiyo alikuwa na shida nyingine vipomo vikaonesha ana maambukizi kupelekwa loganzila na kifo kikampata
Kwa hiyo wewe unaona degrees Centigrade 100 hazitaua? Basi tupandishe kabisa zifikie 500..... 🙄 ...Just joking mura!Daah wewe na paschal Mayalla mtatuponza hizi comment zenu.
Kama hapo kwenye kuvukiza nilimsikiliza mkuu sana nikashituka pale aliposema yule virus atapasuka tu hawezi kuhimili 100 Degrees Centigrade, nikasema hivi nani anaweza kuvumilia kupigwa na mvuke wa nyuzi hizo za joto asiungue usoni?
Mkuu sana alitakiwa asome script tu, kila akijaribu freestyle a.k.a 'acapella' huwa anatoka nje ya note.
Mimi nimehisi maji yakiwa nyuzi 100 kwenye chombo basi hadi zifike puani zitakuwa zimepungua sana.Kwa hiyo wewe unaona degrees Centigrade 100 hazitauwa? Basi tupandishe kabisa zifikie 500..... 🙄 ...Just joking mura!
Yeye mwenyewe kaingia mitini. Angebaki town atuoneshe kwa mifano.Daah wewe na paschal Mayalla mtatuponza hizi comment zenu.