mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Timu zote zinajipima zikiifunga Simba mtaani wanafanya sherehe...na hiki ni kikosi Z'Maajabu Ya Dunia' ....!
Duh.. Basi Simba ni Kweli Timu Kubwa Pekee Tanzania mpaka inatokea ikifungwa linafanyika 'Ajabu Lingine' La Dunia..!
Yaani mechi Moja tu out???? Hivi hii umeshawahi kuiskia kweli??'Maajabu Ya Dunia' ....!
Duh.. Basi Simba ni Kweli Timu Kubwa Pekee Tanzania mpaka inapotokea ikifungwa linafanyika 'Ajabu Lingine' La Dunia..!
Sisi ndio tuliwaachia nyie mwaka Jana mlionjeTumewaachie na nyie mlionjee
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] poleni sana wanathimbaa.Timu zote zinajipima zikiifunga Simba mtaani wanafanya sherehe...na hiki ni kikosi Z
We utakuwa ni mshamba wa boli, Ufaransa ikiwa full squad walishafungwa na Senegal mechi ya kwanza tu world cup 2002 wakiwa mabingws watetezi, itakuwa hili kombe la serikali. Tena wakicheza wasugua benchi. Kweli upande huo, wenye akili ni wawili tu.Wakuu igweee..
Hii timu yetu ya Simba Leo inaweza kuwa imevunja rekodi ya Dunia Kwa kuwa timu ya kwanza bingwa mtetezi kupigwa na kutolewa mashindanoni Mara baada ya kucheza dakika 90 tu za kutetea ubingwa wake.
Yaaani unaambiwa inakamilisha ratiba wakati imecheza mechi Moja tu[emoji848][emoji848][emoji848]
Kwenu wadau kama Kuna timu nyingine hapa duniani imewahi kufanya kituko hiki mtiririke hapa chini.
Makolo mulibwanje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamna wachezaji hapo wa maana zaidi ya 2 au 3...hao wengine walikua wanajifua...nyie nadhani mtajaza kosi la festi ileveni..hahaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] poleni sana wanathimbaa.
Ila mnatia aibu sana, yaani mechi Moja tu mnabeba virago vyenu hao mnarudi dar???
valibwanjeWakuu igweee..
Hii timu yetu ya Simba Leo inaweza kuwa imevunja rekodi ya Dunia Kwa kuwa timu ya kwanza bingwa mtetezi kupigwa na kutolewa mashindanoni Mara baada ya kucheza dakika 90 tu za kutetea ubingwa wake.
Yaaani unaambiwa inakamilisha ratiba wakati imecheza mechi Moja tu[emoji848][emoji848][emoji848]
Kwenu wadau kama Kuna timu nyingine hapa duniani imewahi kufanya kituko hiki mtiririke hapa chini.
Makolo mulibwanje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona ee wamekaza kama walivyokazania kususia bidhaa za AzamWe utakuwa ni mshamba wa boli, Ufaransa ikiwa full squad walishafungwa na Senegal mechi ya kwanza tu world cup 2002 wakiwa mabingws watetezi, itakuwa hili kombe la serikali. Tena wakicheza wasugua benchi. Kweli upande huo, wenye akili ni wawili tu.
France walifungwa ndio mechi ya kwanza na Senegal ila hawakutolewa mashindanoni paka baada ya kucheza mechi yao ya tatu ndio walikua outWe utakuwa ni mshamba wa boli, Ufaransa ikiwa full squad walishafungwa na Senegal mechi ya kwanza tu world cup 2002 wakiwa mabingws watetezi, itakuwa hili kombe la serikali. Tena wakicheza wasugua benchi. Kweli upande huo, wenye akili ni wawili tu.
Wakuu igweee..
Hii timu yetu ya Simba Leo inaweza kuwa imevunja rekodi ya Dunia Kwa kuwa timu ya kwanza bingwa mtetezi kupigwa na kutolewa mashindanoni Mara baada ya kucheza dakika 90 tu za kutetea ubingwa wake.
Yaaani unaambiwa inakamilisha ratiba wakati imecheza mechi Moja tu[emoji848][emoji848][emoji848]
Kwenu wadau kama Kuna timu nyingine hapa duniani imewahi kufanya kituko hiki mtiririke hapa chini.
Makolo mulibwanje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ww umeshupaliaa..je nyie mlivyotolewa na Alhilal club Bingwa uchungu wake unazidi kweli wa kikosi cha pili tena cha kombe la pweza??? π π π π πFrance walifungwa ndio mechi ya kwanza na Senegal ila hawakutolewa mashindanoni paka baada ya kucheza mechi yao ya tatu ndio walikua out
Simba mechi Moja tu out huoni tofauti hapo? Au ndio tuseme rage alivosema Simba wote ni mbumbumbu hakukosea
Yaani hiyo ni ngumi ya SUGUNYO zaidi ya NDOIGE PELESU PELESU.Wakuu igweee..
Hii timu yetu ya Simba Leo inaweza kuwa imevunja rekodi ya Dunia Kwa kuwa timu ya kwanza bingwa mtetezi kupigwa na kutolewa mashindanoni Mara baada ya kucheza dakika 90 tu za kutetea ubingwa wake.
Yaaani unaambiwa inakamilisha ratiba wakati imecheza mechi Moja tu[emoji848][emoji848][emoji848]
Kwenu wadau kama Kuna timu nyingine hapa duniani imewahi kufanya kituko hiki mtiririke hapa chini.
Makolo mulibwanje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simba gufu moya[emoji123][emoji123][emoji123]
Sasa mkuu kwani hujui kiongozi wetu Ismail Aden Rage akiwa mwenyekiti wa Simba alisema wanasimba wote ni mbumbumbu??ila me sijaelewa kitu kimoja, mbona mgunda amesema bado mechi mbili na atatetea ubingwa?