Maajabu ya Dunia: Bingwa mtetezi kutolewa mashindanoni baada ya kucheza dakika 90 tu za mechi yake ya kwanza ya mashindano

mzee wa bwaksi

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,255
Reaction score
3,972
Wakuu igweee..

Hii timu yetu ya Simba Leo inaweza kuwa imevunja rekodi ya Dunia Kwa kuwa timu ya kwanza bingwa mtetezi kupigwa na kutolewa mashindanoni Mara baada ya kucheza dakika 90 tu za kutetea ubingwa wake.

Yaaani unaambiwa inakamilisha ratiba wakati imecheza mechi Moja tu[emoji848][emoji848][emoji848]

Kwenu wadau kama Kuna timu nyingine hapa duniani imewahi kufanya kituko hiki mtiririke hapa chini.

Makolo mulibwanje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We utakuwa ni mshamba wa boli, Ufaransa ikiwa full squad walishafungwa na Senegal mechi ya kwanza tu world cup 2002 wakiwa mabingws watetezi, itakuwa hili kombe la serikali. Tena wakicheza wasugua benchi. Kweli upande huo, wenye akili ni wawili tu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] poleni sana wanathimbaa.
Ila mnatia aibu sana, yaani mechi Moja tu mnabeba virago vyenu hao mnarudi dar???
Hamna wachezaji hapo wa maana zaidi ya 2 au 3...hao wengine walikua wanajifua...nyie nadhani mtajaza kosi la festi ileveni..hahaaaa
 
Wakuu igweee..

Hii timu yetu ya Simba Leo inaweza kuwa imevunja rekodi ya Dunia Kwa kuwa timu ya kwanza bingwa mtetezi kupigwa na kutolewa mashindanoni Mara baada ya kucheza dakika 90 tu za kutetea ubingwa wake.

Yaaani unaambiwa inakamilisha ratiba wakati imecheza mechi Moja tu[emoji848][emoji848][emoji848]

Kwenu wadau kama Kuna timu nyingine hapa duniani imewahi kufanya kituko hiki mtiririke hapa chini.

Makolo mulibwanje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
valibwanje
 
We utakuwa ni mshamba wa boli, Ufaransa ikiwa full squad walishafungwa na Senegal mechi ya kwanza tu world cup 2002 wakiwa mabingws watetezi, itakuwa hili kombe la serikali. Tena wakicheza wasugua benchi. Kweli upande huo, wenye akili ni wawili tu.
Umeona ee wamekaza kama walivyokazania kususia bidhaa za Azam
 
We utakuwa ni mshamba wa boli, Ufaransa ikiwa full squad walishafungwa na Senegal mechi ya kwanza tu world cup 2002 wakiwa mabingws watetezi, itakuwa hili kombe la serikali. Tena wakicheza wasugua benchi. Kweli upande huo, wenye akili ni wawili tu.
France walifungwa ndio mechi ya kwanza na Senegal ila hawakutolewa mashindanoni paka baada ya kucheza mechi yao ya tatu ndio walikua out

Simba mechi Moja tu out huoni tofauti hapo? Au ndio tuseme rage alivosema Simba wote ni mbumbumbu hakukosea
 
Wakuu igweee..

Hii timu yetu ya Simba Leo inaweza kuwa imevunja rekodi ya Dunia Kwa kuwa timu ya kwanza bingwa mtetezi kupigwa na kutolewa mashindanoni Mara baada ya kucheza dakika 90 tu za kutetea ubingwa wake.

Yaaani unaambiwa inakamilisha ratiba wakati imecheza mechi Moja tu[emoji848][emoji848][emoji848]

Kwenu wadau kama Kuna timu nyingine hapa duniani imewahi kufanya kituko hiki mtiririke hapa chini.

Makolo mulibwanje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ila me sijaelewa kitu kimoja, mbona mgunda amesema bado mechi mbili na atatetea ubingwa?
 
France walifungwa ndio mechi ya kwanza na Senegal ila hawakutolewa mashindanoni paka baada ya kucheza mechi yao ya tatu ndio walikua out

Simba mechi Moja tu out huoni tofauti hapo? Au ndio tuseme rage alivosema Simba wote ni mbumbumbu hakukosea
Na ww umeshupaliaa..je nyie mlivyotolewa na Alhilal club Bingwa uchungu wake unazidi kweli wa kikosi cha pili tena cha kombe la pweza??? 😆 😆 😆 😆 😆
 
Wakuu igweee..

Hii timu yetu ya Simba Leo inaweza kuwa imevunja rekodi ya Dunia Kwa kuwa timu ya kwanza bingwa mtetezi kupigwa na kutolewa mashindanoni Mara baada ya kucheza dakika 90 tu za kutetea ubingwa wake.

Yaaani unaambiwa inakamilisha ratiba wakati imecheza mechi Moja tu[emoji848][emoji848][emoji848]

Kwenu wadau kama Kuna timu nyingine hapa duniani imewahi kufanya kituko hiki mtiririke hapa chini.

Makolo mulibwanje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani hiyo ni ngumi ya SUGUNYO zaidi ya NDOIGE PELESU PELESU.
 
Back
Top Bottom