mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Wakuu igweee..
Hii timu yetu ya Simba Leo inaweza kuwa imevunja rekodi ya Dunia Kwa kuwa timu ya kwanza bingwa mtetezi kupigwa na kutolewa mashindanoni Mara baada ya kucheza dakika 90 tu za kutetea ubingwa wake.
Yaaani unaambiwa inakamilisha ratiba wakati imecheza mechi Moja tu[emoji848][emoji848][emoji848]
Kwenu wadau kama Kuna timu nyingine hapa duniani imewahi kufanya kituko hiki mtiririke hapa chini.
Makolo mulibwanje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]