Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Kama umesoma somo la jiografia na kulimudu huwezi ukaita hilo ni ajabu hata kidogo.
kwani ili kitu kiwe "cha ajabu" kinatakiwa kuweje.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umesoma somo la jiografia na kulimudu huwezi ukaita hilo ni ajabu hata kidogo.
Macho yanyofoke na miguu ikukimbie na kukuacha umezubaa kama unaangalia nyumba inaungua.kwani ili kitu kiwe "cha ajabu" kinatakiwa kuweje.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Siyo ajabu lakini habari inafurahisha,heko kwako ulieleta Uzi huuHakuna maajabu imetoka na kutua katika Different time zones
kwahiyo maajabu ya dunia yanakuwa sio maajabu kwa kuwa tunakuwa tumeyasoma form two?Geography ya form two mtu anaona ni ajabu.
..........Siku zote tunahimizwa kwenda shule.
Hakuna cha ajabu hapo shehe.kwahiyo maajabu ya dunia yanakuwa sio maajabu kwa kuwa tunakuwa tumeyasoma form two?
Siyo maajabu ni ndivyo ilivyoHii ni maajabu.
Hakika mkuu.Siyo maajabu ni ndivyo ilivyo
Kipya ni kipi! Wakazi wa Kasumulu Kyela boda ya Malawi na wa Tunduma boda ya Zambia kila mwaka husherehekea mwaka mpya mara mbili.Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024.
Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya Pasifiki ilianzia Hong Kong muda mfupi baada ya usiku wa manane tarehe 1 Januari 2025, dakika chache baada ya jiji hilo kuukaribisha Mwaka Mpya.
Baada ya kuvuka kanda tisa za saa na Mstari wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tarehe katika safari yake ya saa 14, ndege hiyo ilitarajiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles saa 4 usiku tarehe 31 Desemba 2024 - ikiwa ni muda muafaka kwa kuhesabu masaa mawili ya kuukaribisha Mwaka Mpya tena.
Huduma ya kufuatilia safari za ndege, Flightradar, ilichapisha ujumbe kwenye X (zamani Twitter), ikisema:
"Ndege hii imeondoka Hong Kong mwaka 2025 na itatua Los Angeles mwaka 2024."
"Baada ya saa 11 na nusu angani, ni wakati wa kusherehekea Mwaka Mpya tena!"