Maajabu ya dunia yapo Tanga, hakuna Umeme na Maji kwa muda mrefu sasa

Maajabu ya dunia yapo Tanga, hakuna Umeme na Maji kwa muda mrefu sasa

Dada huku kwetu siku ya kumi maji hakuna. Terrible! Nina kishamba pale Mwahako hayakatiki. Basi mna bahati! habar za siku dada.
nzuri sie tupo line kubwa inayoelekea kwa marehem mwapachu hivo maji hayakatiki ni kupungua nguvu tu nilikua mwaminji juzi niliona watu wanateseka na ndoo za maj
 
Sasa ni saa 48 umeme haujakatika hata fraction of a second! Haijawahi tokea !

Maji leo ni siku ya kumi hakuna hata tone! Ngoja tuombe maajabu yatokee na huku kwenye maji.
Kuna marekebisho makubwa yanafanyika kwenye line ya Chalinze - Hale..hali inayopelekea umeme kuwa mdogo na kushindwa kusukuma maji kutoka mabayani kuja Tanga..wako site wanashughulikia..tuwe na Subra.
 
Kuna marekebisho makubwa yanafanyika kwenye line ya Chalinze - Hale..hali inayopelekea umeme kuwa mdogo na kushindwa kusukuma maji kutoka mabayani kuja Tanga..wako site wanashughulikia.
asante mshuza, but are you sure? Maji ya Tanga mjini yana uhusiano gani na Chalinze? Maji ya Tanga yanatoka Amani! milima ya amani Mbomole, Derema, mto Zigi etc
sorry issue ni umeme.... these two/three days umeme uko a bit stable!
 
Hahah Tanga si mkoa wa waziri wa nishati huu au?tunayeambiwa ni genius kwa mujibu wa chawa wake pasko mayala😅😅
 
asante mshuza, but are you sure? Maji ya Tanga mjini yana uhusiano gani na Chalinze? Maji ya Tanga yanatoka Amani! milima ya amani Mbomole, Derema, mto Zigi etc
Yaani mkuu inshu ni umeme ndio unaosukuma zile mota zinazoleta maji Tanga..sasa umeme unaopatikana ni mdogo kutokana na marekebisho hayo..kwahyo maji pia yanatoka machache kwa mgao..
 
Yaani mkuu inshu ni umeme ndio unaosukuma zile mota zinazoleta maji Tanga..sasa umeme unaopatikana ni mdogo kutokana na marekebisho hayo..kwahyo maji pia yanatoka machache kwa mgao..
Nimekupata sana , asante sana! Are you in Tanga? Line ya kwa Mwapachu mwambani yanatoka angalau kidogo. Huku uswahilini ni "mavi" kabisa!
 
Yes tuko wote Tanga mkuu..
Naona barabara ya tanga to Pangani imefika Mwangombe/Mwakidila. Tafuteni viwanja maeneo hayo maana mabasi ya Dar yatakuwa yanapitia njia hiyo kufupisha distance by 100 km from Tanga via Pangani , Saadani Bagamoyo to Dar!
 
Tanga Maendeleo Yanasua Sua sana. Mzunguko wa Pesa ni kidogo.... Umwinyi Bado no mwingi , mtu akimiliki Huoniao Anaona Ameshamaliza, Vijana Wote Huku ni Bodaboda na Abiria Wenyewe Hakuna.

Kuna Safari Ndefu sana ya Maendeleo ktk Huu mkoa Wangu

Loc : Duga Viwandani..... Siku sio nyingi Narudi DSM
 
Sasa ni saa 48 umeme haujakatika hata fraction of a second! Haijawahi tokea !

Maji leo ni siku ya kumi hakuna hata tone! Ngoja tuombe maajabu yatokee na huku kwenye maji.
Hayo si maajabu, kama hakuna umeme na maji basi mna shida.
 
Back
Top Bottom