Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Mimi hua natamani watu dizaini hiyo uwasombe na bus ukawamwage Njombe...njombe majority ni wachakarikaji mno mno esp wanawake...wakae walau mwezi waone watu wakule walivyo watafutaji...argghWana ujuaji mwingi sana! kupitiliza. Kama siyo wa kabila lake hakuamini kabisa!Halafu roho mbaya, akiona una gari anaziba njia usipite badala ya na yeye kutafuta awe na gari/pikipki. Wanawake madela, atauza lolote apate hela ya dela la harusi/"shughuli" wanaita. harusi ni chai ya maandazi mawili na wali maharage, muziki siku tatu kwenye tent moja! Mnisamehe sana.. badilikeni.....Lakini ukiwaalika Regal Naivera, wanakuja usiombe!
Kumtukana mtoto matusi ya nguoni is normal! (kwa hayo yote siyo wote anyway)