Maajabu ya dunia yapo Tanga, hakuna Umeme na Maji kwa muda mrefu sasa

Duga ya Podoa? wadigo wanahitaji mageuzi sana! Wanachokiweza kwa nguvu zote ni "chuo". Mtot aende "Chuo"...mnisamehe siyo kuwa nafanya kama Chalamila.....
 
Sasa ni saa 48 umeme haujakatika hata fraction of a second! Haijawahi tokea !

Maji leo ni siku ya kumi hakuna hata tone! Ngoja tuombe maajabu yatokee na huku kwenye maji.
Aweso na makamba si wanatoka huko? Nini mbaya aisee
 
5years Nimekuja Tena This February Ila Hakuna Changes Zozote


Changes ni Very Minor
*Kuna Duka La Vunjabei Mkwakwani
* Azam Wamefunga Taa za Uwanja Wa Mkwakwani Kuna nguzo kubwa nnje ya Uwanja
*La Cassa Inaitwa The Dreamerz Bado pako vile vile lakini



Mambo Mengine Yako Vile vile. Mpaka vichochoro Bado havijabadilika. Na huku ni mjini nilitegemea kuona mabadiliko makubwa mengi. Sipati picha uko vijijini it's the same story, mentality za watu wa Tanga zinakwamisha mkoa

Kuna mtu nilimuuliza kwanini usije dar ukatafuta maisha kwasababu unalamika Tanga Hapaeleweki
Akanijibu" aaah ambiwa nnkakae dar Mimi? Dar sikuwezi Kuna vurugu , fujo nyingi na majigari mengi , sikupendi tu"

Hilo Jibu nilipata zaidi ya mtu mmoja
Kuna Safari Ndefu sana ya kuwakomboa kifikra Vijana wa huku.
 
Duga ya Podoa? wadigo wanahitaji mageuzi sana! Wanachokiweza kwa nguvu zote ni "chuo". Mtot aende "Chuo"...mnisamehe siyo kuwa nafanya kama Chalamila.....
Duga Ya Podoa huku huku sheikh karibu na Ray mark, udigo ume wa effect wakazi Wote wa mkoa huu, unakuta mtu ni kabila sio la huku kabisa Ila Ana Tabia za kidigo na kibondei.



Wasambaa Nawakubali sana sio watu wa kubweteka na wanaskilizaga ushauri sio wajuaji Kama wadigo. Na ukiangalia Wana Maendeleo.
Big up kwa shehoza kaleta sheli karibu mitaa hii, niliondoka haikuwepo. Utajaribu kuona ni akina Nani Wana kiu ya Maendeleo. Mdigo akinunua dagaa msumari , dagaa bobwe wa Buku wanaopitishwa ktk makapu mtaani anaona maisha kayapatia sana. Natamani wangekuwa ni watu wa kutoka wakajionee mikoa mingine watu wanavyoishi....wangejifunza sana (wamekubali kujifungia inside the box tanga ) kusafiri hawataki.


Kwa kulalamika Sasa , we acha tu !
 
Tanga sijui kwanini yani kupokupo tu na huko ccm tangu uhuru, njombe, tabora🚮🚮🚮 r.i.p mohamed mtoi
 
nzuri sie tupo line kubwa inayoelekea kwa marehem mwapachu hivo maji hayakatiki ni kupungua nguvu tu nilikua mwaminji juzi niliona watu wanateseka na ndoo za maj
Mwapachu alikuwa anakaa mchukuuni karibu na ukumbi wa mikutano Tanga, mwahako ndani ndani, zamani kulikuwa vichaka, now wanajitahidi kupajenga. Wewe unakaa wapi? Tualikane madam mi Sina mambo dagaa msumari tu wanitosha
 
Mwapachu alikuwa anakaa mchukuuni karibu na ukumbi wa mikutano Tanga, mwahako ndani ndani, zamani kulikuwa vichaka, now wanajitahidi kupajenga. Wewe unakaa wapi? Tualikane madam mi Sina mambo dagaa msumari tu wanitosha
hahahahaha ila huku tangu majuzi umeme wa bwerere yan haujakatika hovyo maji tu ndio mtihano, hehehehehe yani dagaa msumar mpaka tuwafate sahare sasa huku ni bangara na bobwe au chafi vipi unakula??
 
😂😂😂😂😂
 
Basi uswazi kote hakuna maji. At least umeme jana na leo bado upo!
umeme mwenyewe nikashangaa au swichi ya kuzimi haionekani mana haujakatika kabisaaa leo siku ya tatu
 
Kuna marekebisho makubwa yanafanyika kwenye line ya Chalinze - Hale..hali inayopelekea umeme kuwa mdogo na kushindwa kusukuma maji kutoka mabayani kuja Tanga..wako site wanashughulikia..tuwe na Subra.
ooh wafanyr wamalize kuna watu wanateseka na maji ni either wakachote msikitini yale ya chumvi au waamke asbh asbh wayawahi kabla hayajakatika
 
Wana ujuaji mwingi sana! kupitiliza. Kama siyo wa kabila lake hakuamini kabisa!Halafu roho mbaya, akiona una gari anaziba njia usipite badala ya na yeye kutafuta awe na gari/pikipki. Wanawake madela, atauza lolote apate hela ya dela la harusi/"shughuli" wanaita. harusi ni chai ya maandazi mawili na wali maharage, muziki siku tatu kwenye tent moja! Mnisamehe sana.. badilikeni.....Lakini ukiwaalika Regal Naivera, wanakuja usiombe!
Kumtukana mtoto matusi ya nguoni is normal! (kwa hayo yote siyo wote anyway)
 
ooh wafanyr wamalize kuna watu wanateseka na maji ni either wakachote msikitini yale ya chumvi au waamke asbh asbh wayawahi kabla hayajakatika
Madam uko sehemu gani wewe...Tanga kubwa hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…