Maajabu ya fundi wa mpira, Said Mwamba Kizota

Maajabu ya fundi wa mpira, Said Mwamba Kizota

Wale wana miili mikubwa siyo kama wetu.Kuna jamaa alirushiwa jezi na Joe Hart aliivaa ikampwaya.jamaa anakaa kinondoni hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kwako ni mwili mdogo siyo
Screenshot_20191227-235754.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau tu kuweka a.k.a yake ya "Vipepsi". Huyu jamaa alikua akiruka juu na beki wa timu pinzani basi lazima beki arudi chini anaugulia maumivu ya mbavu.
 
Back
Top Bottom