balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Huyu kwako ni mwili mdogo siyoWale wana miili mikubwa siyo kama wetu.Kuna jamaa alirushiwa jezi na Joe Hart aliivaa ikampwaya.jamaa anakaa kinondoni hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app