Maajabu ya jiji la Kampala

Nashukuru mkuu. Ni affordable, but ni hoteli kweli au ni gesti iliyochangamka? Wana nini cha ziada kisichopatikana gesti? Wanatoa "breakfast"?
Kwa Sisi wafanyabiashara unapochukua hotel karibu na masoko inakuwa rahisi kutembelea na kununua mizigo kiurahisi
 
Border unaweza kutumia kitambulisho gani kuingia kama huna passport na inakua valid kwa muda gani ukiwa ndani ya Uganda.
Emergency Travel Document inayotolewa na UHAMIAJI kwa wale wasiokuwa na PASSPORT. Life span yake ni miezi mitatu. Lakini pia, kikishatumika mara moja huwezi kulitumia tena awamu nyingine, inabidi ukatoe nyingine. Itakuruhusu kuingia tu mara moja, ukimaliza issue zako iwe utakuwa imekaa huko wiki moja au miezi miwili, utakapogobgewa tu muhuri wa kutoka, kinakuwa kimemaliza muda wake hata kama miezi mitatu haijaisha.
 
πŸ“ŒπŸ”¨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…