Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Hata kaunga ni ugaliUgali siyo posho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kaunga ni ugaliUgali siyo posho?
"Sente meke"? Kumbe ni rahisi hivyo😀Sente meke- Bei gani, Usule Bulunji-Usiku mwema, mtwalo- elfu 10, lusamvu-elfu 7, nyoo -sana
🙏🙏🙏Hata kaunga ni ugali
Yes wengi huita posho hata wamalawi huita hivyo.. uko huko mpaka lini?Ugali siyo posho? Janq niliingia mgahawa fulani, nilipouliza vyakula vilivyopo, nilitajiwa na posho. Nikaagiza posho na nyama.
Sitakaa muda mrefu. Naweza ondoka muda wowote, mara tu nikamilishapo kilichonileta.Yes wengi huita posho hata wamalawi huita hivyo.. uko huko mpaka lini?
Ok nami next week nitakuwa hukoSitakaa muda mrefu. Naweza ondoka muda wowote, mara tu nikamilishapo kilichonileta.
Nimeedit mkuu ni masoko, gharama ya hotel ni 50k UgxNi typing error au ndicho unachomaanisha, MASOMO yao?
Gharama za hiyo hoteli zikoje mkuu? Chumba kwa siku ni bei gani?
Malawi mmama au demu kukojoa mbele ya watu barabaran ni kitu cha kawaida kwao, wapo kama mifugo yanAfrica, Malawi mademu zao wanaongoza kwa ushamba wa kuvaa... Zambia pia wanavaa Sana vimini kama Afuganistan.
Kitambo sana hizi mambo, nilikua nazila pale Chireka (Kireka) nikiwa naelekea Nambole stadium, hizi rolex sijawai kuziona BongoBado hujazungumzia vyakula vyao maarufu mitaani Kama Kikomandoo (chikomandoo) na Rolex (chapati na mayai).
Nashukuru mkuu. Ni affordable, but ni hoteli kweli au ni gesti iliyochangamka? Wana nini cha ziada kisichopatikana gesti? Wanatoa "breakfast"?Nimeedit mkuu ni masoko, gharama ya hotel ni 50k Ugx
Kwa Sisi wafanyabiashara unapochukua hotel karibu na masoko inakuwa rahisi kutembelea na kununua mizigo kiurahisiNashukuru mkuu. Ni affordable, but ni hoteli kweli au ni gesti iliyochangamka? Wana nini cha ziada kisichopatikana gesti? Wanatoa "breakfast"?
✅🙏🙏🙏Kwa Sisi wafanyabiashara unapochukua hotel karibu na masoko inakuwa rahisi kutembelea na kununua mizigo kiurahisi
Hahaha mwaka ndio kwanza umeanzaUngetuwekea kapicha ka vimin ingependeza
Bado sijafika South Africa mkuu! Kuna mji unaoitwa ELIZABETH South Africa?Elizabeth South Africa wanachukuliaje wabongo
💪💪Asante sana mkuu
🙏🙏🙏Hiyo namba 8, hicho chakula cha asubuhi asubuhi kinaitwa *akatogo"! Saa nne ndio Waganda wanakunywa chai.
Ndiyo mkuu, ila yanatangaza Kiganda sijui Kibaganda😀Vipi kuna vispika maeneo ya biashara?
NakaziaUngetuwekea kapicha ka vimin ingependeza
Emergency Travel Document inayotolewa na UHAMIAJI kwa wale wasiokuwa na PASSPORT. Life span yake ni miezi mitatu. Lakini pia, kikishatumika mara moja huwezi kulitumia tena awamu nyingine, inabidi ukatoe nyingine. Itakuruhusu kuingia tu mara moja, ukimaliza issue zako iwe utakuwa imekaa huko wiki moja au miezi miwili, utakapogobgewa tu muhuri wa kutoka, kinakuwa kimemaliza muda wake hata kama miezi mitatu haijaisha.Border unaweza kutumia kitambulisho gani kuingia kama huna passport na inakua valid kwa muda gani ukiwa ndani ya Uganda.
📌🔨Huenda boda boda wa huku nao wapo rafu katika uendeshaji pikipiki kama wa Bongo. Nimeshuhudia zikipuuzia kuzingatia taa za kuongozea magari. Ni tofauti na boda boda wa Kigali ambao inasemekana ni watiifu sana wa Sheria za barabarani
Kuhusu nidhamu barabarani ni serikali ndio inazembea kwa wajinga kama hao
Rwanda wameamua hawataki ujinga
Ila Kampala pazuri sana nimeenda mara mbili