Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maduka kufunguliwa saa 12? Kwani dar inafanyaje? Dar panakeshaKwa kuwa ulishafanya nao kazi, siwezi kukubishia. Ila pia na Mimi nilishafanya kazi na mmoja miaka ya nyuma. Yeye peke yake ndiye aliyekuwa Mganda kwenye taasisi yetu. Alikuwa mchapa kazi sana japo sijui kama hiyo ilikuwa ni tabia yake binafsi au alinadilishwa na mazingira.
Kilichonifanya niwaone wa huku ni wachapa kazi ni baada ya kushuhudia maduka na mama lishe yamesahafunguliwa saa kumi na mbili Asubuhi, na mama lishe kuivisha chakula mapema sana Asubuhi.
Border unaweza kutumia kitambulisho gani kuingia kama huna passport na inakua valid kwa muda gani ukiwa ndani ya Uganda.Sijui nauli ya kutokea Dar. Kama unataka "kuja" Kampala, panda basi hadi Mwanza ukashangae kwanza miamba ya jijini Mwanza ndipo uendelee na safari ya Kampala.
Na kama utaanzia safari Mwanza kwa magari ya kuunga unga kama nilivyofanya, utapanda gari kutoka Mwanza hadi Katoro (Geita) Tsh 8,000/=.
Katoro hadi Bukoba Tsh 20,000/=
Kutoka Bukoba Mjini utachkua daladala hadi Mutukula Tsh 4,000/=.
Mutukula ukishagongewa mihuri, unaweza ukavuka mpaka kwa miguu kuingia upande wa Uganda kwenda ziliko hiace (Waganda huziita taxi), au uchukue bodaboda Tsh 1,000/= au Tsh 2,000/=, lakini wakikuona wewe ni wa kuja, bodaboda wanaweza wakakuambia hata Tsh 5,000/=.
Kabla ya kuvuka kwenda upande wa Uganda, ni vizuri ukabadilisha hela upate za Kiganda, na pia ukasajili line ya Uganda, mfano MTN (Vodacom). Kama una passport kubwa (siyo EMERGENCY TRAVEL DOCUMENT) unaweza ukasajili line yako kwa jina lako hapo hapo Mutukula upande wa Tanzania, gharama ni Tsh 3,000/=, lakini kama unatumia EMERGENCY TRAVEL DOCUMENT, watakupatia line iliyokwishasajiliwa kwa jina la mtu mwingine kwa Tsh 10,000/=, ila wakikuona wewe ni mtoaji mzuri watakuambia Tsh 15,000/=.
Ukishaingia upande wa Uganda, utapanda "taxi" kwa hela ya Kiganda Ugx 40,000 Mutukula hadi Kampala. Ingawa nauli ni Ugx 40,000/= , mimi nililipa Ugx 35,000/=, na mtu mwingine alilipa Ugx 30,000/=. Wakati wa kurudi nitabargain hadi na mimi nipande kwa Ugx 30,000/=.
Ujanjaujanja na wiziwizi kwa Waganda ndio hulka yao! Wana kamsemo kao la, "nnfella kumali"! Ahahahahaha!!!Kitu kingine kuhusu waganda , hoja ya uchapakazi hii haipo kwa miaka miwili niliokaa kule kwani starehe kwao ni kipaumbele kikubwa ,wanaishi wakiwaza sana kutoka nchini kwao wakiamini kutoboa zaidi.Hawajitumi ila ni wajanja wajanja sana na ukikaa vibaya watakupiga ,tabia ya udokozi kwa vitu vidogo vidogo kwao ni kawaida.
Ngono ni kitu simple sana kwani wanakauzungu flani hata dem akikuelewa anakufata anakueleza uhalisia kua anakutaka .
Bidhaa zao sijui ni kwa nn ila nyingi ni org kwa asilimia 100, copy ni chache labda miaka hii ya sasa .Kama taifa kl Waganda ni kabila kubwa ila wanawabagua sana makabila mengine .
Kujiunga UPDF (jeshini ), kiswahili ilikua sifa ya ziada
Nimeanza kuelewa kwanini iddi amini aliitaka kagera. Yani kwa hayo maneno iko ni kihaya kabsaaaaa. Yani mhaya anaishi uganda bila shida ya lugha kabsa.Ndio saizi huwezi kupigwa, elfu 1 nadhani wanaita Lukumi. Polepole ni mpola mpola, hao boda usiku wengi wanakuwa maji unakuta anakuita sebo(mwanaume) tugende(twende). Wewe unamuita Janguu(njoo) sebo
Nitatembea nikiwa nimedindisha mno. 🙆Mimi nafikiri suala la vimini ni utamaduni, pengine! Sijui ni Wanyankole au ni kabisa jingine la Kiganda, ambalo mavazi yao ya kimila yanaacha sehemu kubwa ya mwili wa mwanamke wazi. Mavazi kam hayo huyavaa kwenye shughuli za kiutamaduni kama ngoma n.k. Inawezekana wameathiriwa na huo utamaduni.
Nimekipata. Nimekiona kinavyoandaliwa. Nimenunua kwa Ugx 2,000 maeneo ya Mulago.Kaulizie chakula kinaitwa Rolex, hakipatikan mgahawani ni vijana barabarani wanakaanga chapati Inakunjwa Kwenye mayai ni very cheap. Wape hi ba sebo na wanyabo
🙏🙏🙏Hamna ruti hio ukipanda meli either ushuke bukoba au kemondo ndio uende mutukula, meli unaanzia mwanza
Nimeila leo. Ni nzuri! Ni tamu! Nimeipenda!!!Kama hujataja neno Rolex basi hujaizungumzia Kampala 🇺🇬 kabisa.
NAKAZIAUngetuwekea kapicha ka vimin ingependeza
🥺😀Uganda kiswahili kinatumiwa ZAIDI na wanajeshi UPDF na majambazi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ungetuwekea kapicha ka vimin ingependeza
Ni typing error au ndicho unachomaanisha, MASOMO yao?Kampala nenda owino market,ghazaland market uone wenzetu walivyoyapangilia masomo yao.
Binafsi huwa nikienda Kampala huwa nafikia Galaxy hotel ipo city centre na ni cheap hata wahudumu wake wengine wanagonga kiswahili vizuri sana.
Ugali siyo posho? Jana niliingia mgahawa fulani, nilipouliza vyakula vilivyopo, nilitajiwa na posho. Nikaagiza posho na nyama.Duu kipande cha broadway Kawempe tuliinjoi sana ,kyungu=jiko,Amazi =maji,Kaunga(ugali),binjanjaro(maharage.janguu (njoo).Nimeanza sahau mengine ila kampala Naipenda kuliko dar