Maajabu ya Kampala International University

Maajabu ya Kampala International University

Ikuzen mtaona hata alieitengeneza ajui anachofanya
 
Hata kama chuo icho ni cha kuungaunga vp... hii haiwezekani! kwanza maswali yenyewe ni ya discipline tofauti Ict, geography!!!! ooh NO!! na hii ndo shida yetu watanzania badala ya kufikir vitu vya msingi tunakaa kubuni ujinga km huu!!! MUNGU ATUSAMEHE!

huyu alyebun ni mpumbav
 
sitaki kuamini kama chuo kikuu unapima wanafunzi kwa staili hiyo, labda tufanye research kwanza.
 
I don't think is true and if is real basi tumekishwa mazima

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hii sio kweli ....Japo hiki chuo kimesemwa sana kwa taaruma yake lakini hawajafikia hapo. :nono:
 
ghooosh halafu anatoka na GPA 4.5 makubwaa...................

Nina uhakika hakuna chuo cha namna iyo! ila kuna baadhi ya vyuo sijajua kama wanafundishwa kuponda vyuo vingine kwasababu kila wakati unasikia wakisema" mbona chuo chenu hakimo kwenye top 100 Africa?" lakini ukifuatilia wahitimu wake ni vilaza wa kutupwa yaani wanafikia hatua ya kushindwa kujua Tanzania ni muungano wa nchi gani na ni viongozi wakubwa kweli serikalini! mi nadhani suala sio kuponda kwa kutunga mitihan ya chekechea na kuisahihisha bali waponde hali za waitimu uko makazini!
 
ukiangalia website yao utaona hayo maneno ya

Kampala Int.. Uni

yapo pembeni ya logo yao

matatu yamefuatana kwa kwenda chini
kama

A na sio A B C
B
C

kwa hiyo hii ni mtu tu kajitungia, mambo duniani ni kucheki jamani kutungwa kitu ni rahisi kwa kujifurahisha.
 
Jamani vitu vingine inabidi kutumia common sense au logic au wisdom, hiyo kitu haina uhalisia kabisa. Kweli kampala walikuwa na mapungufu yakuchelewesha moishahara kwa wafanyakazi wao lakini kwenye upande wakufundisha wako makini. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mbona maswali mengine hayahusiani na computer science & IT?Kwa mfano What type of a job do you want after school?
 
Tanzania is a damping place....where all rotten things dumped...even hon Mulugo, damped!!

Tanzania imeingia je hapa? Mbona comment yako na kinachoongelewa haviendani? Au wewe ndo upo damped cjakusoma?
 
Hivi bado sikukuu ya wajinga inaendelea..Mi najua huwa inaishaga saa Nne asubuhi..
 
Kuna hii issue ya karatasi la mtihani wa majaribio kutoka Kampala Int.University tena wa mwanafunzi wa 3rd year.Karatasi hili limewekwa kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali mfano джеоф йона | Facebook

View attachment 88629
Jamani kama hiki kitu ni cha kweli, hiki chuo hakifai kabisa.Hapo unapima nini na je huyo mwanafunzi atakuja kusaidia nini huku kwenye jamii.

jamani vyuo vikuu nchi hii ni UDSM, SUA, MUHAS, ARDHI, DUCE na kidogo UDOM,MZUMBE. vingine hivo ukienda for ur own resk
 
Back
Top Bottom