No admission
JF-Expert Member
- Nov 26, 2011
- 215
- 68
Thia is not serious hasa swali la tatu na majibu yake hahahahahaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama chuo icho ni cha kuungaunga vp... hii haiwezekani! kwanza maswali yenyewe ni ya discipline tofauti Ict, geography!!!! ooh NO!! na hii ndo shida yetu watanzania badala ya kufikir vitu vya msingi tunakaa kubuni ujinga km huu!!! MUNGU ATUSAMEHE!
ghooosh halafu anatoka na GPA 4.5 makubwaa...................
Sidhani kama ni kweli!
Kuna hii issue ya karatasi la mtihani wa majaribio kutoka Kampala Int.University tena wa mwanafunzi wa 3rd year.Karatasi hili limewekwa kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali mfano Ð´Ð¶ÐµÐ¾Ñ Ð¹Ð¾Ð½Ð° | Facebook
View attachment 88629
Jamani kama hiki kitu ni cha kweli, hiki chuo hakifai kabisa.Hapo unapima nini na je huyo mwanafunzi atakuja kusaidia nini huku kwenye jamii.