Maajabu ya Kampala International University

Maajabu ya Kampala International University

dah, hichi chuo mnakichukia vibaya. Bt huyu na st joseph ndo waokozi wetu vilaza
 
Big up IFM real nice Institute compaired to others
 
Iwe jokes isiwe jokes lkn naweza kuwa Shahidi wa ubovu wa product za hiyo Gongolamboto University,juzi nikiwa kama sehemu ya panel ya usaili katika zoezi la kuajiri somewhere nilithibitisha ubovu wa candidates wawili wote ni graduates wa hicho Chuo,katika mtihani(written) ilikuwa ni aibu kubwa,walipitwa hata na madogo fulani Diploma holders wa TIA na Chuo cha maendeleo ya Jamii,na katika oral ndo kabisaa nilichoka na kuchoka.

Hilo ni janga la kitaifa, siyo kwa ma gradates wa chuo hicho peke yake. Nilishafanyia wengine kutoma udsm huwezi amini, utafikiri chuo walikuwa saloon. Na hata wape wanaoonekana wazima mdomoni njoo kunako practical mama yangu, ni majanga. Kwa ujumla madogo wa diploma wako fit zaid ya graduates.
 
Nilipata kuiona mahala...ila ni kuharibiana sifa tu! Ile dhana ya chuo hiki ni bora kuliko kile nadhani imeshapitwa na wakati...
 
Kampala university wanazidiwa na na THE SINNON COLLEGE
 
Hilo ni janga la kitaifa, siyo kwa ma gradates wa chuo hicho peke yake. Nilishafanyia wengine kutoma udsm huwezi amini, utafikiri chuo walikuwa saloon. Na hata wape wanaoonekana wazima mdomoni njoo kunako practical mama yangu, ni majanga. Kwa ujumla madogo wa diploma wako fit zaid ya graduates.

tetea level yako c mbaya yn aliyefel 4m 4 awe xawa n m2 wa udsm dah mkandala ckia hawa
 
kwa Diploma hata baba ako awe mkuu wa chuo lazima upige msuli.. but kule kwingine waweza lala tu na ukapata gpa ya maana
 
View attachment 82960

huuu ndo mtihani wa mwanafunzi wa mwaka wa tatu........!!! kwa computer science kwa hali hii kweli tutafika....... ingekuwa pouwa sana kama serikali itavifungia vyuo vya kizembe kama hivi coz havina tija kwa watanznia

attachment.php

IQ yangu inaona huu si ukweli,utakuwa una mahusuano mabaya na chuo hicho (KIU) either uli-DISCO ukaamua ku type na kuprint paper hizo Ili kukichafua na si tabia nzuri.
NB:USIRUDIE TENA SI VIZURI KWA HAPA JUKWAANI KUFANYA VITU KAMA HIVI,HEBU JARIBU KUOMBA NAFASI CHUO KINGINE NA SI KUKICHAFUA CHUO HIKI.
 
Bila shaka ww ni kilaza wa KIU
 
Sidhani kama ki uhalisia chuo ambacho kimesajiliwa na NACTE na chenye hadhi ya kuitwa chuo kikuu wanaweza kutoa mitihani kama hiyo. Labda kama umedhamiria kutuchekesha mkuu.
 
Bila shaka ww ni kilaza wa KIU

Kuwa mpole usiwe na jazba unapoambiwa ukweli,uwezo wako wa kujua lipi baya lipi zuri bado ni mdogo,na imani wewe si TAAHIRA una akili nzuri sema yawezekana ulitumia kilevi kabla ya ku-post na hao walevi wenzako ndo wanao ku-support.
 
Back
Top Bottom