Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majanga!
Iwe jokes isiwe jokes lkn naweza kuwa Shahidi wa ubovu wa product za hiyo Gongolamboto University,juzi nikiwa kama sehemu ya panel ya usaili katika zoezi la kuajiri somewhere nilithibitisha ubovu wa candidates wawili wote ni graduates wa hicho Chuo,katika mtihani(written) ilikuwa ni aibu kubwa,walipitwa hata na madogo fulani Diploma holders wa TIA na Chuo cha maendeleo ya Jamii,na katika oral ndo kabisaa nilichoka na kuchoka.
Hilo ni janga la kitaifa, siyo kwa ma gradates wa chuo hicho peke yake. Nilishafanyia wengine kutoma udsm huwezi amini, utafikiri chuo walikuwa saloon. Na hata wape wanaoonekana wazima mdomoni njoo kunako practical mama yangu, ni majanga. Kwa ujumla madogo wa diploma wako fit zaid ya graduates.
View attachment 82960
huuu ndo mtihani wa mwanafunzi wa mwaka wa tatu........!!! kwa computer science kwa hali hii kweli tutafika....... ingekuwa pouwa sana kama serikali itavifungia vyuo vya kizembe kama hivi coz havina tija kwa watanznia
![]()
IQ yangu inaona huu si ukweli,utakuwa una mahusuano mabaya na chuo hicho (KIU) either uli-DISCO ukaamua ku type na kuprint paper hizo Ili kukichafua na si tabia nzuri.
NB:USIRUDIE TENA SI VIZURI KWA HAPA JUKWAANI KUFANYA VITU KAMA HIVI,HEBU JARIBU KUOMBA NAFASI CHUO KINGINE NA SI KUKICHAFUA CHUO HIKI.
Bila shaka ww ni kilaza wa KIU
kwa Diploma hata baba ako awe mkuu wa chuo lazima upige msuli.. but kule kwingine waweza lala tu na ukapata gpa ya maana
Bila shaka ww ni kilaza wa KIU