Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini. Tafakari, ndio maana mimi hata Mbowe sina imani naye kabisa.
Sijasema namuamini Magufuli. Nimesema mimi kama mimi Mbowe sina imani nae, 2015 alifanya sarakasi, mwaka huu anafanya sarakasi. Kaa utafakari.Ila Magufuli ndiyo wa kumwamini kwa sababu anathubutu kunena Mungu hoyeeeee! Wakati huo huo wengine wakipotea, wengine wakiokotwa kwenye viroba na wengine wakjeruhiwa kwa risasi mchana mchana?...
Sijasema namuamini Magufuli. Nimesema mimi kama mimi Mbowe sina imani nae, 2015 alifanya sarakasi,mwaka huu anafanya sarakasi. Kaa utafakari...
Ya akina Azory yametokea, Magufuli yupo madarakani, unadhani nini suluhu kwa mtu kama mimi na wewe?Yupo anayetaka sarakasi kuliko Magufuli?..."
HUYU KIJANA AMEIFUTA CHADEMA RASMI HUKO ARUSHA.
Ya akina Azory yametokea, Magufuli yupo madarakani, unadhani nini suluhu kwa mtu kama mimi na wewe?
Huyo aliyefutwa ubunge karudi Ccm. Nini suluhu kwa walalahoi?
Kila mtu ana uhuru wa kutafsiri na kuelewa jambo kwa akili yake. Kama wewe unaon mimi kutomuamini Mbowe ni kosa hiyo juu yako. Lakini kuw mkweli na kuwa na msimamo ni jambo la msingi.Siyo huyo tu hata aliyekuwa mmoja wa vigogo CDM bwana petro katawi, kumbe alikuwa afisa kipenyo.
Si tu kuwa karudi kwa waliomtuma bali hawa ndiyo kama huyu dogo, labda na wewe pia ambao kazi zenu ndiyo hizo za kuleta tafrani ili miradi jiwe aendelee kufanya yake nanyi ka buku 7 kaendelee kuwapo. Alimradi, mkono uende kinywani.
Si kila mtu ana njaa kama zenu. Mark my words!
HUYU KIJANA AMEIFUTA CHADEMA RASMI HUKO ARUSHA.
Kila mtu ana uhuru wa kutafsiri na kuelewa jambo kwa akili yake. Kama wewe unaon mimi kutomuamini Mbowe ni kosa hiyo juu yako. Lakini kuw mkweli na kuwa na msimamo ni jambo la msingi.
Mimi namwamini JPM? Mimi ni mtu wa msimamo,sio mtu wa kukariri na kufuata mkumbo.Mbowe kawashika pabaya kila bandiko huachi kumtaja.
Jiwe kakushikia akili hakuna unapothubutu kumtaja hata kwa jina lake....
Mimi namwamini JPM? Mimi ni mtu wa msimamo,sio mtu wa kukariri na kufuata mkumbo.
Ndo kwisha habarii yenuuu, mwambieni jamaaa yenu arudi kwao moshii, awaache wanaarusha wajiongozeeKama CDM inafutika hivi basi jiwe kaimaliza kabisa CDM na hasa kote alikozomewa hadi warushaji matangazo wa CCM wakafanya yao.
TULIENI SINDANO IWAINGIEE. NASARI ANAWASIGINA VIZURIII.Kwa huo utopolo? Umemsikia vizuri lakini tokea katika TV yetu ya chama pendwa?
Hizo ndiyo nondo kweli kweli yaani best of the best walizothubutu kuturushia kutoka kwake.
Mbowe kinachomgharimu in mwanasisa mstaarabu sana.Sijasema namuamini Magufuli, tumia ubongo. Nimesema mimi kama mimi Mbowe sina imani nae, 2015 alifanya sarakasi, mwaka huu anafanya sarakasi. Kaa utafakari.