Ndo kwisha habarii yenuuu, mwambieni jamaaa yenu arudi kwao moshii, awaache wanaarusha wajiongozee
Endelea kustaajabu, kwa taarifa tuu na kukusaidia, Joshua Nasari, amejitambua na kuchukua hatua kwa kujiunga na the best party in Tanzania!.Mabibi na mabwana, heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Wahenga walisema staajabu ya Mussa lakini siyo ya Firauni.
Je, huyu si ndiye aliyemtuhumu jiwe kununua wabunge?
Ama kweli staajabu ya Mussa!
Endelea kustaajabu, kwa taarifa tuu na kukusaidia, Joshua Nasari, amejitambua na kuchukua hatua kwa kujiunga na the best party in Tanzania!.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
P
Endelea kustaajabu, kwa taarifa tuu na kukusaidia, Joshua Nasari, amejitambua na kuchukua hatua kwa kujiunga na the best party in Tanzania!.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
P
Wapo wengi hao maafisa kipenyo ambao Chadema imewakumbatia.
Mmoja ninayemjua kwa hakika ni
WENJE, Yule ambaye Magu aliyejifanya kakosea nakumnadi kule jimboni.
Ukitaka amani ya moyo ELEWA kwamba wanasiasa wanatafuta maisha mazuri wao na familia zao.HUJIULIZI inakuwaje msafara wa mgombea una magari Zaid ya 20 ya thamani ya shilingi milioni 250 kila moja lakini anaowahutubia hawana maji tangu nchi imepata uhuru.Jaribu kuwaza tofauti kuna kitu utagundua.
Ajabu utasema unamwamini Lissu utafikiri yeye sio mwanasiasa.Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini. Tafakari, ndio maana mimi hata Mbowe sina imani naye kabisa.
Inamaana katambi P ni tithi?
Ndo nakwambia Sasa, ondokana kabisa na hiyo mentality ya kusema et wewe unadhambi ndogondogo,hivyo basi utapata kibali mbele za MUNGU.Wewe paroko wa msikiti gani? Au ni jirani tu hapa kwa mtoro nije kupata neno la wokovu kutoka kwako?