Uchaguzi 2020 Maajabu ya kampeni CCM Arusha, Joshua Nassari aubamiza Upinzani

Uchaguzi 2020 Maajabu ya kampeni CCM Arusha, Joshua Nassari aubamiza Upinzani

Ndo kwisha habarii yenuuu, mwambieni jamaaa yenu arudi kwao moshii, awaache wanaarusha wajiongozee

Kuwa nyumbu ni kazi kweli kweli ndiyo maana mnalipwa buku 7.

Mwambieni mpole mpole alipe tu buku 7 hata msipoandika kitu huku JF. Hii ni kwa maana kuwa nyumbu tu inatosha mtu kwa mwenye akili timamu kulipwa hiyo pesa.

It can't be otherwise!
 
Wapo wengi hao maafisa kipenyo ambao Chadema imewakumbatia.
Mmoja ninayemjua kwa hakika ni
WENJE, Yule ambaye Magu aliyejifanya kakosea nakumnadi kule jimboni.
 
Mabibi na mabwana, heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.

Wahenga walisema staajabu ya Mussa lakini siyo ya Firauni.

Je, huyu si ndiye aliyemtuhumu jiwe kununua wabunge?

Ama kweli staajabu ya Mussa!
Endelea kustaajabu, kwa taarifa tuu na kukusaidia, Joshua Nasari, amejitambua na kuchukua hatua kwa kujiunga na the best party in Tanzania!.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

P
 
Mkuu tangia ulipojiweka wazi kuwa ni alumni zaidi wa (akina) kawe kuliko wa Ilboru, mabandiko yako tunakuwa na tahadhari kidogo zaidi.

Kumbuka walikuwapo kina 'katawi' mwenyekiti bavicha kumbe afisa kipenyo!

Kwa hakika hapa si siasa bali 'moral responsibility' zaidi. Kwamba Lissu ilikuwa auawe kivile. Inawezekana vipi uliyekuwa mshirika wa manusura yule leo kujipanga na mtuhumiwa upande mmoja bila soni wala hofu na ukaeleweka bado?

Hapo tu ndipo ngoma ilipo na kutofautisha hoja zako kwenye uzi ulioambatanisha.

Ama kws hakika "ukistaajabu ya Nassari utayaona ya patro katawi afisa kipenyo mzamivu!"
 
Wapo wengi hao maafisa kipenyo ambao Chadema imewakumbatia.
Mmoja ninayemjua kwa hakika ni
WENJE, Yule ambaye Magu aliyejifanya kakosea nakumnadi kule jimboni.

Mkuu waswahili wanasema "umdhaniaye siye ndiye." Wanamahesabu nao kwa contrapositive wanasema vile vile itakuwa sahihi kusema "umdhaniaye ndiye siye."

Wauona utata huo jombi?

Ngoma iko hapa maafisa vipenyo wamechukulia hilo sasa kutuonyesha wao kila wasiyempenda kwa kumpakazia kuwa ni mmoja wao.

Ahahahahah!

Cha kujiuliza mbona katawi hamkutuambia? Mneti naye je au yule bwana mboga mboga?

Maafisa vipenyo nyie si mjitambulishe tu wenyewe badala ya kujaribu kupaka wengine matope ili wasiaminike?

Uzuri ni kuwa tunajua tuko infiltrated. Lakini juweni you too are unsafe! Habari ndiyo hiyo.

Viva BKM!
 
Ukitaka amani ya moyo ELEWA kwamba wanasiasa wanatafuta maisha mazuri wao na familia zao.HUJIULIZI inakuwaje msafara wa mgombea una magari Zaid ya 20 ya thamani ya shilingi milioni 250 kila moja lakini anaowahutubia hawana maji tangu nchi imepata uhuru.Jaribu kuwaza tofauti kuna kitu utagundua.
 
IMG_20200919_152123.jpg
 
Hili linamhusu zaidi jiwe mwenye magari 100 kidogo kwenye misafara yake. Na bado uhuru na haki zetu anataka aendelee kuzikalia.
 
Out of mada , mwenye connection namba za watoto wakale , anipe nina fungu la kumi hapa nataka niliwasilishe .
 
Tusimshangae jamani! anajiweka kwenye nafasi nzuri ya kuwa miongoni mwa wateule wa Rais 2020-2025!
 
Wewe paroko wa msikiti gani? Au ni jirani tu hapa kwa mtoro nije kupata neno la wokovu kutoka kwako?
Ndo nakwambia Sasa, ondokana kabisa na hiyo mentality ya kusema et wewe unadhambi ndogondogo,hivyo basi utapata kibali mbele za MUNGU.
Anaezini,anaeiba,muasherati,msema uongo,na muuaji wote Ni wakosaji mbele zake.
 
Back
Top Bottom