Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

Status
Not open for further replies.
Kila mtu yupo kwaajili yake mwenyewe. Labda na familia yake.

Ukilitambua hilo inatosha kuelewa kuwa wako sahihi
So kweli. Not for politicians and activists! Kaza nati hiyo huko kichwani imelegea. They are paid for that
 
Binafsi napata mshangao sana Mafuta yanapanda zaidi na zaidi ,sio Mnyika ,sio Zito,sio Mbowe ,sio upinzani Maisha yanakua magumu kwa wananchi wengi ila kuna mtandao unanufaika zaidi

Awamu YA tano wakati serikali inajenga miundo mbinu ,upinzani walikua wanasema wananchi hawali miundo mbinu

Sasa hivi hawasemi wananchi kama watakula Katiba
 
Wewe mtoa hoja umepigania nini kuiletea nchi hii unafuu kwa raia wake, huu ni uzuzu mwingine Kuja kujificha huku na I'd fake, uoga wako na kuwafanya wanaume wengine wakupiganie ni upumbavu at it's best, toka mtaani na pigana kama unaona haki yako imeminywa na next time acha kutuletea mada za kinafiki, Mr.Mbowe amefanya mengi kukupigania kunguru wewe sasa jiulize wewe umefanya nini?
 
Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania masrahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana:

Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!

Mfano ni Zitto Kabwe kipindi cha JPM kila mara aliitisha vikao na waandishi wa habari akikosoa uongozi wa Magufuli hususani kwenye utawala bora,uchumi na mikopo, lakini leo hii kwenye utawala hui wa mama Samia Zitto huwezi kumsikia!

Wengine wanasema Zitto ni mdini sana ,wengine wanasema kalambishwa asali na pia alikuwa na chuki na Magufuli baada ya kumtosa licha ya kujitutumua kubaki bungeni kwenye hotuba yake ya ufunguzi novemba 2015 baada ya CHADEMA kususia hotuba yake:

Mbowe mwenye kitu wa CHADEMA nae alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Magufuli na hususani akiendeshwa na chuki yake binafsi ya ukabila na kiukanda waliyonayo viongozi mengi wa CHADEMA lakini cha kushangaza tokea atoke gerezani hakuna anachoshauri wala kukosoa serkali picha ya maisha kupanda, Chini ya kapeti Mwamba Makamba asali maisha yanaendelea kamwachia Heche anajitutumua!

Fatma Karume nae ni wale wale blahblah za hali na mambo mengine ya kutetea hali za ushoga na mambo yao binafsi ya uanaharakati pasipo kujali masrahi ya wananchi zinaendelea!

Huwezi kumuona huyu Bibi naweza kumwita akimtetea mama ntilie au mama aliyeko kijijini huko,Samia kaingia madarakani kwa vile ni mzenji wenzake kimya kabisa kana kwamba mambo yako sawa mtaani!

Wananchi lazima waamke kutegemea wanasiasa uchwara kama hawa ni kupoteza mda maana wao kikubwa washibe hakuna kingine!
Huwa akikutaka uingie kwenye harakati zake na umuunge mkono na kura umpigie huwa unamtii?Mkifinywa mnawakumbuka.Mkiwa na good time mnawananga.😂😂😂😂
 
Wewe mtoa hoja umepigania nini kuiletea nchi hii unafuu kwa raia wake, huu ni uzuzu mwingine Kuja kujificha huku na I'd fake, uoga wako na kuwafanya wanaume wengine wakupiganie ni upumbavu at it's best, toka mtaani na pigana kama unaona haki yako imeminywa na next time acha kutuletea mada za kinafiki, Mr.Mbowe amefanya mengi kukupigania kunguru wewe sasa jiulize wewe umefanya nini?
Ficha upumbavu wako Mkuu. Hadi unatoa povu
 
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa....... Saizi huwezi kuona twiti za kukosoa chochote wakati hakuna kitu kilicho badilika labda awamu tu
 
Wanasiasa hupigania maslahi binafsi siku zote.
Watanzania sisi wenyewe ni tatizo, maana wanasiasa wanatuongelea sana ila sie tunawavunja nguvu....

Mfano ni mara ngapi tunaambiwa tuingie Barabarani kupinga Rushwa, kuteka na kupoteza watu, matumizi mabovu ya rasilimali ( keki ya taifa ) na gharama za maisha kupanda kihorela, wakifikia hapo utasikia mtu kabisa na akili zake anasema "waandamane na familia zao" huku ukilalamika JF hawakutetei sasa unafiri hata wao hawachoki...!!?

Wanatetea watu wasiojua ni kitu gani hakiko sawa, hata ingekuwa ni wewe ndg....
 
Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania masrahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana:

Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!

Mfano ni Zitto Kabwe kipindi cha JPM kila mara aliitisha vikao na waandishi wa habari akikosoa uongozi wa Magufuli hususani kwenye utawala bora,uchumi na mikopo, lakini leo hii kwenye utawala hui wa mama Samia Zitto huwezi kumsikia!

Wengine wanasema Zitto ni mdini sana ,wengine wanasema kalambishwa asali na pia alikuwa na chuki na Magufuli baada ya kumtosa licha ya kujitutumua kubaki bungeni kwenye hotuba yake ya ufunguzi novemba 2015 baada ya CHADEMA kususia hotuba yake:

Mbowe mwenye kitu wa CHADEMA nae alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Magufuli na hususani akiendeshwa na chuki yake binafsi ya ukabila na kiukanda waliyonayo viongozi mengi wa CHADEMA lakini cha kushangaza tokea atoke gerezani hakuna anachoshauri wala kukosoa serkali picha ya maisha kupanda, Chini ya kapeti Mwamba Makamba asali maisha yanaendelea kamwachia Heche anajitutumua!

Fatma Karume nae ni wale wale blahblah za hali na mambo mengine ya kutetea hali za ushoga na mambo yao binafsi ya uanaharakati pasipo kujali masrahi ya wananchi zinaendelea!

Huwezi kumuona huyu Bibi naweza kumwita akimtetea mama ntilie au mama aliyeko kijijini huko,Samia kaingia madarakani kwa vile ni mzenji wenzake kimya kabisa kana kwamba mambo yako sawa mtaani!

Wananchi lazima waamke kutegemea wanasiasa uchwara kama hawa ni kupoteza mda maana wao kikubwa washibe hakuna kingine!
Wapinzani walipodhulumiwa Ubunge na Dikteta Mwendazake MLIKAA KIMYA Waliposhtakiwa na Kubambikiziwa Kesi za Uongo za Ugaidi mliwaachia Chadema wapambane hamkupaza Sauti
Chadema wanapigania KATIBA MPYA mpo KIMYA
 
wangewa wako kwa maslah yao chadema ingekataa ruzuku ya milion 160 kila mwezi au mnajifariji tulieni mnyooshwe wajinga nyinyi kipind lile shetan linapora uchaguz mlifurahia sasa nyooshweni ili 2025 mkiambiwa muingie barabaran akili zitawakaa vizuri

Unadhani kila mtu niwakuambia kitu alafu afanye?😀😀
Ati mkiambiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom