So kweli. Not for politicians and activists! Kaza nati hiyo huko kichwani imelegea. They are paid for thatKila mtu yupo kwaajili yake mwenyewe. Labda na familia yake.
Ukilitambua hilo inatosha kuelewa kuwa wako sahihi
Huwa akikutaka uingie kwenye harakati zake na umuunge mkono na kura umpigie huwa unamtii?Mkifinywa mnawakumbuka.Mkiwa na good time mnawananga.ππππNchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania masrahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana:
Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!
Mfano ni Zitto Kabwe kipindi cha JPM kila mara aliitisha vikao na waandishi wa habari akikosoa uongozi wa Magufuli hususani kwenye utawala bora,uchumi na mikopo, lakini leo hii kwenye utawala hui wa mama Samia Zitto huwezi kumsikia!
Wengine wanasema Zitto ni mdini sana ,wengine wanasema kalambishwa asali na pia alikuwa na chuki na Magufuli baada ya kumtosa licha ya kujitutumua kubaki bungeni kwenye hotuba yake ya ufunguzi novemba 2015 baada ya CHADEMA kususia hotuba yake:
Mbowe mwenye kitu wa CHADEMA nae alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Magufuli na hususani akiendeshwa na chuki yake binafsi ya ukabila na kiukanda waliyonayo viongozi mengi wa CHADEMA lakini cha kushangaza tokea atoke gerezani hakuna anachoshauri wala kukosoa serkali picha ya maisha kupanda, Chini ya kapeti Mwamba Makamba asali maisha yanaendelea kamwachia Heche anajitutumua!
Fatma Karume nae ni wale wale blahblah za hali na mambo mengine ya kutetea hali za ushoga na mambo yao binafsi ya uanaharakati pasipo kujali masrahi ya wananchi zinaendelea!
Huwezi kumuona huyu Bibi naweza kumwita akimtetea mama ntilie au mama aliyeko kijijini huko,Samia kaingia madarakani kwa vile ni mzenji wenzake kimya kabisa kana kwamba mambo yako sawa mtaani!
Wananchi lazima waamke kutegemea wanasiasa uchwara kama hawa ni kupoteza mda maana wao kikubwa washibe hakuna kingine!
Ficha upumbavu wako Mkuu. Hadi unatoa povuWewe mtoa hoja umepigania nini kuiletea nchi hii unafuu kwa raia wake, huu ni uzuzu mwingine Kuja kujificha huku na I'd fake, uoga wako na kuwafanya wanaume wengine wakupiganie ni upumbavu at it's best, toka mtaani na pigana kama unaona haki yako imeminywa na next time acha kutuletea mada za kinafiki, Mr.Mbowe amefanya mengi kukupigania kunguru wewe sasa jiulize wewe umefanya nini?
Watanzania sisi wenyewe ni tatizo, maana wanasiasa wanatuongelea sana ila sie tunawavunja nguvu....Wanasiasa hupigania maslahi binafsi siku zote.
Huyo Mikengeza Mbowe mpigania tumbo lake wewe kichwa maji endelea kumshabikia! 2015 aliuza mechi saizi kawaacha kwenye mataa analamba asali!Ficha upumbavu wako Mkuu. Hadi unatoa povu
Wewe umeona wandishi mbovu sawa; Ujumbe umefika mr Chawa!
Wapinzani walipodhulumiwa Ubunge na Dikteta Mwendazake MLIKAA KIMYA Waliposhtakiwa na Kubambikiziwa Kesi za Uongo za Ugaidi mliwaachia Chadema wapambane hamkupaza SautiNchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania masrahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana:
Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!
Mfano ni Zitto Kabwe kipindi cha JPM kila mara aliitisha vikao na waandishi wa habari akikosoa uongozi wa Magufuli hususani kwenye utawala bora,uchumi na mikopo, lakini leo hii kwenye utawala hui wa mama Samia Zitto huwezi kumsikia!
Wengine wanasema Zitto ni mdini sana ,wengine wanasema kalambishwa asali na pia alikuwa na chuki na Magufuli baada ya kumtosa licha ya kujitutumua kubaki bungeni kwenye hotuba yake ya ufunguzi novemba 2015 baada ya CHADEMA kususia hotuba yake:
Mbowe mwenye kitu wa CHADEMA nae alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Magufuli na hususani akiendeshwa na chuki yake binafsi ya ukabila na kiukanda waliyonayo viongozi mengi wa CHADEMA lakini cha kushangaza tokea atoke gerezani hakuna anachoshauri wala kukosoa serkali picha ya maisha kupanda, Chini ya kapeti Mwamba Makamba asali maisha yanaendelea kamwachia Heche anajitutumua!
Fatma Karume nae ni wale wale blahblah za hali na mambo mengine ya kutetea hali za ushoga na mambo yao binafsi ya uanaharakati pasipo kujali masrahi ya wananchi zinaendelea!
Huwezi kumuona huyu Bibi naweza kumwita akimtetea mama ntilie au mama aliyeko kijijini huko,Samia kaingia madarakani kwa vile ni mzenji wenzake kimya kabisa kana kwamba mambo yako sawa mtaani!
Wananchi lazima waamke kutegemea wanasiasa uchwara kama hawa ni kupoteza mda maana wao kikubwa washibe hakuna kingine!
Tena yule mrundi Zitto kwenye asali hajambo!ππππ
So kweli. Not for politicians and activists! Kaza nati hiyo huko kichwani imelegea. They are paid for that
Watanzania sisi ni wa hovyo sana hacha tulambe shubili labda akili itatukaa sawa 2025, ni waoga, wanafiki na wazandiki na badooohayo mapumbavu ya lumumba yakiambiwa kuandamana uchaguz ukiharibiwa yanasema kuvunjwa miguu sasa yafe na njaa kabisa.
wangewa wako kwa maslah yao chadema ingekataa ruzuku ya milion 160 kila mwezi au mnajifariji tulieni mnyooshwe wajinga nyinyi kipind lile shetan linapora uchaguz mlifurahia sasa nyooshweni ili 2025 mkiambiwa muingie barabaran akili zitawakaa vizuri
Ukweli ukiwa mchungu ni kawaida kwa mazuzu kutukana, tuongee kwa ukweli why bei ya mafuta ipande wakati wenzetu wanashusha bei?always mnataka watu wawapiganie wakati mnaogopa vivuli vyenuFicha upumbavu wako Mkuu. Hadi unatoa povu
Exactly mkuu, mafuta yamepanda bei na sisi tunaandamana na ID fake ndani yaWatanzania sisi ni wa hovyo sana hacha tulambe shubili labda akili itatukaa sawa 2025, ni waoga, wanafiki na wazandiki na badooo