Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

Status
Not open for further replies.
Rudi shule tafadhali.
 
Baada yakuimba mapambio kwa watawala mufilisi kutoka cccm Sasa wanawakomesha ndio mnawakumbuka akina Mbowe ikiwa nyakati zile wanataabishwa na watawala wenu nyie mlikuwa mnawaona sio wazalendo! now tulieni mpaka siku yatakapo wakuta makubwa zaidi ya haya wanayotenda cccm huenda mkazinduka Mimi naona bado kibano kiongezeke watz ni maBWEGE sana
 
Haswa tena Zitto na Mbowe hatari sana hawa licha ya kuwa na chawa wengi humu!
Hamna shukrani ninyi. Wewe umeshindwa nini kujipigania au kupigania watanzania. Wakati wanasoteshwa jela na kufilisiwa wewe uliwasaidia nini? Waache waishi watakavyo. Hawakuzaliwa kuwa watetezi wako. Wanapojitolea hata kidogo yapasa tuwashukuru.
 
Yaani kura uwape CCM, ikija hali tete uwalilie wapinzani. Fikra hizi taaabu kwelikweli.
 
Nimehisi kichefuchefu na kutapika

Uandishi mbovu haijawahi tokea hapa JF

Mkuu unaandika kama paka anapokunywa maziwa kwenye sahani , Tunaita paka anakunywa maziwa kwa kurapa rapa
Mpumbavu mkubwaa ww..fisi maji..alichoa dika ni kibaya hicho sio ukwel kabisaa..fala mkubwaa weyeee..
 
Sasa kinakuuma nini? Kama hali ni tete nenda kawalilie wabunge wako wa CCM.
 
Yaani kura uwape CCM, ikija hali tete uwalilie wapinzani. Fikra hizi taaabu kwelikweli.
Kazi ya kuijenga Nchi ni yetu sote ,kazi ya upinzani ni uangalizi (Watchdog) katika Nchi ,kuona kama utawala bora upo,na kutoa ushauri, hawatakiwi kusubiri kuaribike ndio watoe ushauri
 
Kazi ya kuijenga Nchi ni yetu sote ,kazi ya upinzani ni uangalizi (Watchdog) katika Nchi ,kuona kama utawala bora upo,na kutoa ushauri, hawatakiwi kusubiri kuaribike ndio watoe ushauri
Mliwabeza uchaguzi ulipovurugwa. Waacheni wafanye mambo kwa wakati wanaoona unafaa. Nigekuona mwenye busara kama lawama za kwanza zingeelekezwa kwa wabunge wa ccm.
 
Wewe unadhani hao uliowataja wana majibu ya kero zetu?

Tuanze na Katiba mpya kwanza
 
Kwani mtoa mada wewe ni bubu? Kwanini usipige kelele wewe Kwanza mpaka ushurutishe wengine?. Tatizo mmezidi unafiki nyie no mashujaa nyuma ya keyboard tu wacha muisome
Hakika mkuu. Nyuma ya keyboard wanaharakati ni wengi tutoke sasa kwenye kupambania hilo asemalo. Sio kila muda utawaelewa nao wana fikra zao pia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…