Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

Status
Not open for further replies.
Sema basi ukweli huyo JPM
alikuwa jambazi au siyo?
Alikuwa muuaji au siyo?
Alikuwa malaya au siyo?
Mungu aliingilia kati March 17
2021.
Ukweli utakuweka huru!
Mungu angeingilia kati kwa kuiondoa ccm sasa hivi tungekuwa tumeondoa mzizi wa tatizo ila angalia sasa bado tunaendelea kulilia tu.
 
una hela ya kumtunza mke wazaz wako na watoto, una hela ya kula au upo bize kuandika vitu off point..? Aliyekudanganya hizo porojo mwambie asikufanye huna akili...
Wewe ndo huna hoja! Mimi sio nyumbu kama nyinyi hamjui hata mnachotaka! Mbowe ndo mkombozi wenu! Mataahira kweli!
 
Acha mama ajenge nchi ilimradi tu hakuna ubabe na ushamba wa awamu iliyopita. Pia acha Makamanda wapumzike na kuvuta pumzi kidogo maana waliteswa sana wala hakuna aliyewatetea enzi za mwendazake.
 
Chuki ya Ukabila na Ukanda aliyokuwa nayo Mbowe wakati wa Magufuli ni Ipi ?
 
Kamanda umetapika nyogo! Siku ukijifunza kutafuta UKWELI katika mawazo yanayotofautiana na yako utakuwa huru!
 
zitto na msimbe fatma ni udini tu.

Hao watu ni wabaguzi sana.
 
Hivyo ndivyo inavyotakiwa kueleweka! Kila mmoja na lwake!
Kumtetea mtz? not anymore! Ni lini wananchi walidai maisha Ben saa nane?
Maisha ya watu waliookotwa ufukweni kwenye viroba
Hakuna kuteteana tena! Kila mmoja aamke!



Sawa mwanasiasa
 
Naomba watu watulie na wakae wakisikilizia maumivu yanavyoingia kwakuwa tumefika hapa tulipo sio kwasababu ya Mbowe ila ccm.
 
Ni kweli wanasiasa wengi wanapigania maslahi binafsi lakini mapigano yao pia yanatija kwa uma.

Kingine unatakiwa kujuwa kuwa Wabongo ni watu WANAFIKI sana.
Toleo la Kwanza kaka.
Waseme tu kama walivyokuwa wanasema zamani !! Tena kwa sasa ndio upo uhuru wa kusema kuliko ilivyokuwa awamu iliyopita !! Watu wakiwaona kimya hivi sasa ndio speculation za Asali zinakuwa na nguvu !!
Kelele za akina Zitto na Mbowe ni kukatiwa line za hela tu. Walizoea kwa Jakaya wakiropoka sana wanaitwa Ikulu na kulambishwa asali wanakaa kimya. Hela ikikata wanaazisha tena vugu vugu.

Magufuli alikuwa anawatimua hataki hata kuwasikiliza. Ndio zile chuki za raisi mshamba, dikteta uchwara na anaua upinzani 😂😂😂
 
Huna akili wewe, mbowe ndo Rais wa Russia au Ukraine,
Huwa kabla hamjaandika uharo wenu tumia akili kutafakari
Kadanganye watotot wa chekechea kuwa Vita ya Urusi na Ukraine inahusiana na ujinga unaoendelea nchini.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…