Maajabu ya Mungu: Nimeiombea "graphics card" mbovu - imepona!

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,238
Reaction score
8,194
Heshima zenu wakuu. Mada hii ni habari ya kweli kabisa. Kila mara huwa nasisitiza hapa kwamba uongo nauchukia kama ukoma. Hivyo unaposoma mada hii usifikiri ni chit chat au chai. Ni kweli kweli tupu.

Haya, twende kwenye mada sasa. Kwanza namshukuru Mungu mambo ya IT hayajanipita kando. I can build a custom PC from scratch.

Hivi majuzi, graphics card(GPU) ya PC yangu iliharibika. By the way, kabla hujaendelea kusoma, kama hujui umuhimu wa GPU, muulize chatGPT ili twende pamoja vizuri.

OK, tuendelee. Ilitokea ghafla tu, niliwasha computer ikawaka, lakini screen ikabaki nyeusi. Nika-reboot, screen ikatoa mistari au dots dots za rangi ya kijani kwenye desktop bila kuonesha picha. Kabla ya hapo, nilishindwa kabisa kufanya video rendering. Kila nikijaribu, PC ina-crash bila kutoa warning yoyote. Nili-update drivers, lakini haikusaidia.

Nilifanya display device replacement ku-verify monitor functionality. Monitor ya pili nayo pia ilibaki nyeusi. Nikafanya video cable replacement test ku-verify signal integrity, tatizo halikuondoka. Kisha nikafanya GPU hardware troubleshooting procedure, nikajiridhisha card imeharibika.

Kwa mtazamo wa imani ya Kikristo, Mungu anaweza kuponya chochote, hata vifaa vya kielektroniki, kama mtu ataomba kwa imani.

Marko 11:24 inathibitisha ukweli huo:
"Kwa sababu hiyo nawaambia, yoyote mtakayoyaomba mkisali, aminini kwamba mmeyapokea, nayo yatakuwa yenu."

Mungu anasema pia katika Yeremia 32:27
“Mimi ndimi Bwana , Mungu wa wote wenye mwili. Je, kuna jambo lolote lililo gumu nisiloliweza?"

Hiyo inatufundisha kwamba hakuna kitu ambacho ni kikubwa kwa Mungu, hata vifaa vibovu au matatizo yetu ya kila siku Mungu anaweza kuyatatua.

Yesu anasema tena katika Marko 11:23
"Amin, nawaambia, mtu yeyote atakayeuambia mlima huu, ‘Ngʼoka ukatupwe baharini,’ wala asione shaka moyoni mwake, bali aamini kwamba hayo asemayo yametukia, atatimiziwa."

Kuuambia mlima ung'oke ni jambo zito kibinadamu. Vivyo hivyo kwa mtu asiyeamini, anaweza kuona uzito sana kuiombea GPU.

Mimi nimemuona Mungu akinifanyia mambo mengi, makubwa sana katika maisha yangu, baada ya kumuomba. Hivyo niliiombea GPU nikaamini kuwa itapona kwa Jina la Yesu na itafanya kazi tena! Hivi ninavyoongea, GPU imepona na inafanya kazi bila tatizo. Screen inaonesha picha na apps zinazohitaji GPU zina-function properly. Mungu ni mwema kila wakati, haleluya!
 
Ushuhuda huu ni pigo zito kwa shetani na wafuasi wake wanaopiga kelele mchana na usiku eti Biblia haiaminiki, imepotoshwa! Eti Mathayo, Marko na Paulo hawakuwepo! Maandiko hayo niliyokutajia, yangekuwa yamepotoshwa, nisingeona matokeo baada ya kuiombea Graphics card.
 
Hii ni imani kubwa
 
Yale yale ya kujaza mtungi wa gesi kwa kupuliza. Ha ha haaa.
 
Naomba uniombee hadi kesho nipate 130M nina uhitaji nayo.
Huna haja ya kuombewa. Ukiomba mwenyewe kwa imani utapewa hata dola milioni 100
Yesu anasema katika Mathayo 7:7-12
“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni mlango, nanyi mtafunguliwa. Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa. Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe? Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka? Kama basi nyinyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: Atawapa mema wale wanaomwomba."
 
  • Thanks
Reactions: K11
Yale yale ya kujaza mtungi wa gesi kwa kupuliza. Ha ha haaa.
Kama huamini niliyokuambia, kwanini wewe usimuombe Yesu kwa imani, uone kama hatakupa mahitaji yako. Yesu aliyefufua wafu anashindwa kuiponya graphics card?!
 
Hii ni imani kubwa
Haihitajiki imani kubwa kuona miujiza. Yesu anasema katika Luka 17:6
“Kama mngekuwa na imani ndogo kama punje ya haradali, mngeweza kuuambia mti huu wa mkuyu, ‘Ngʼoka ukaote baharini,’ nao ungewatii."
 
Mungu aliyeumba Dunia na vyote vilivyomo hawezi kushindwa kitu.
 
Heshima zenu wakuu. Mada hii ni habari ya kweli kabisa. Kila mara huwa nasisitiza hapa kwamba uongo nauchukia kama ukoma. Hivyo unaposoma mada hii usifikiri ni chit chat au chai. Ni kweli kweli tupu.

Haya, twende kwenye mada sasa. Kwanza namshukuru Mungu mambo ya IT hayajanipita kando. I can build a custom PC from scratch.

Hivi majuzi, graphics card(GPU) ya PC yangu iliharibika. By the way, kabla hujaendelea kusoma, kama hujui umuhimu wa GPU, muulize chatGPT ili twende pamoja vizuri.

OK, tuendelee. Ilitokea ghafla tu, niliwasha computer ikawaka, lakini screen ikabaki nyeusi. Nika-reboot, screen ikatoa mistari au dots dots za rangi ya kijani kwenye desktop bila kuonesha picha. Kabla ya hapo, nilishindwa kabisa kufanya video rendering. Kila nikijaribu, PC ina-crash bila kutoa warning yoyote. Nili-update drivers, lakini haikusaidia.

Nilifanya display device replacement ku-verify monitor functionality. Monitor ya pili nayo pia ilibaki nyeusi. Nikafanya video cable replacement test ku-verify signal integrity, tatizo halikuondoka. Kisha nikafanya GPU hardware troubleshooting procedure, nikajiridhisha card imeharibika.

Kwa mtazamo wa imani ya Kikristo, Mungu anaweza kuponya chochote, hata vifaa vya kielektroniki, kama mtu ataomba kwa imani.

Marko 11:24 inathibitisha ukweli huo:
"Kwa sababu hiyo nawaambia, yoyote mtakayoyaomba mkisali, aminini kwamba mmeyapokea, nayo yatakuwa yenu."

Mungu anasema pia katika Yeremia 32:27
“Mimi ndimi Bwana , Mungu wa wote wenye mwili. Je, kuna jambo lolote lililo gumu nisiloliweza?"

Hiyo inatufundisha kwamba hakuna kitu ambacho ni kikubwa kwa Mungu, hata vifaa vibovu au matatizo yetu ya kila siku Mungu anaweza kuyatatua.

Yesu anasema tena katika Marko 11:23
"Amin, nawaambia, mtu yeyote atakayeuambia mlima huu, ‘Ngʼoka ukatupwe baharini,’ wala asione shaka moyoni mwake, bali aamini kwamba hayo asemayo yametukia, atatimiziwa."

Kuuambia mlima ung'oke ni jambo zito kibinadamu. Vivyo hivyo kwa mtu asiyeamini, anaweza kuona uzito sana kuiombea GPU.

Mimi nimemuona Mungu akinifanyia mambo mengi, makubwa sana katika maisha yangu, baada ya kumuomba. Hivyo niliiombea GPU nikaamini kuwa itapona kwa Jina la Yesu na itafanya kazi tena! Hivi ninavyoongea, GPU imepona na inafanya kazi bila tatizo. Screen inaonesha picha na apps zinazohitaji GPU zina-function properly. Mungu ni mwema kila wakati, haleluya!
UNAWEZA USIELEWEKE KWA "baadhi" YA WATU WASIOJUA NAMNA Mungu anavyotenda kupitia ROHO WAKE.
 
Hakuna kisichowezekana kwake yeye aaminiye,iman sio kukebehi au kujaribu imani inaendana na uhalisia wa maisha yetu. Imani inabadirisha mambo.hongera sana kwa kupata muujiza.
 
Ushuhuda huu ni pigo zito kwa shetani na wafuasi wake wanaopiga kelele mchana na usiku eti Biblia haiaminiki, imepotoshwa! Eti Mathayo, Marko na Paulo hawakuwepo! Maandiko hayo niliyokutajia, yangekuwa yamepotoshwa, nisingeona matokeo baada ya kuiombea Graphics card.
Mkuu una mastory kweli na hayanaga ushahidi. Mimi siku zote kutokana na avatar yako huwa nahisi wewe mwanamke, na kama wewe ni mwanamke na uelewa wa mambo ya technology ulionao umenifurahisha.
 
Kama huamini niliyokuambia, kwanini wewe usimuombe Yesu kwa imani, uone kama hatakupa mahitaji yako. Yesu aliyefufua wafu anashindwa kuiponya graphics card?!
Your faith bar is so low. Ukiniambia pia kwamba hiyo GPU hukununua bali uliomba ikashuka toka mbinguni then ninaweza kukusikiliza lakini kwamba iliharibika ukaomba ikapona hapana asee. It's too convenient.
 
Back
Top Bottom