Maajabu ya Mungu: Nimeiombea "graphics card" mbovu - imepona!

Maajabu ya Mungu: Nimeiombea "graphics card" mbovu - imepona!

Duh hapa lazma kondoo Busu la Kenge na shoga zake kama Chizi Maarifa na wengne watakuja tu jumapili kupata neno na kuleta sadaka

Mke wangu ameona hapa umenitaja akaona wivu na kuleta ugomvi kuwa nina mademu JF hawaachi kunitaja taja na kunifikiria kila wakati. Wewe nlikugegedea wapi? Yule wa kwenye gari au nyuma ya ile lounge pale msasani? Maana sikumbuki vizuri.
 
We endelea kucheka na dhambi tu, siku ya hukumu yaja
1 Kor 6:9
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti
 
Maombi hasa na Yale ya kufunga kwa Imani yanafanya kazi
 
Ulokole na uchizi ni mtu na bff
Kusema wokovu ni uchizi ni kumdhihaki Mungu aliyenituma nikupe habari njema. Imeandikwa: ‘Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna’ (Wagalatia 6:7). Maneno yako ni ushuhuda kuwa moyo wako unampinga Kristo, na mwisho wa moyo huo ni maangamizi. Leo nakuonya kwa jina la Yesu: acha dhihaka zako, tubu uokoke, maana siku ya hukumu imekaribia. Siku hiyo hautasema tena ulokole ni uchizi, bali utalia na kusaga meno.
 
Back
Top Bottom