Maajabu ya Mungu: Nimeiombea "graphics card" mbovu - imepona!

Maajabu ya Mungu: Nimeiombea "graphics card" mbovu - imepona!

Huna haja ya kuombewa. Ukiomba mwenyewe kwa imani utapewa hata dola milioni 100
Yesu anasema katika Mathayo 7:7-12
“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni mlango, nanyi mtafunguliwa. Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa. Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe? Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka? Kama basi nyinyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: Atawapa mema wale wanaomwomba."
Sasa mbona wewe unaombea PC chakavu badala ya kuomba hizo Dola ununue PC mpya ya kisasa?
 
To brand a testimony of divine intervention as 'nonsense' is to exhibit not only a deplorable deficiency of spiritual discernment but also an audacious contempt for the metaphysical verities that transcend empirical reductionism. Such cavalier repudiation exposes an intellect ensnared in the prison of materialistic dogma, impervious to the pneumatological realities by which God manifests His sovereignty even in the minutiae of creation. Beware, for to scoff at the operations of the Almighty is not merely an act of ignorance but an indictment of the heart’s obstinate rebellion against eternal truth.
Nonsense
 
🤣🤣🤣
Dada tafuta au muombe Mungu akupe Mwanaume awe anakutoa hilo wenge ulilo kuwa nao.
Kama wenge langu limekuvuta mpaka umefungua mada yangu, basi asifiwe Yesu
 
Mtaalamu wa IT kabisa unasema mambo kama hayo ok sawa.
Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako (Mithali 3:5-6)
 
Muda mwingine sisi tunaokuwa tunasoma nyuzi zenu ifikie mahali mjaribu kuwa mnatuheshimu hata kidogo basi!

Enewei, kwani Mpwayungu Village yupo wapi siku hizi
 
Muda mwingine sisi tunaokuwa tunasoma nyuzi zenu ifikie mahali mjaribu kuwa mnatuheshimu hata kidogo basi!

Enewei, kwani Mpwayungu Village yupo wapi siku hizi
Kwani hujaona nilivyoanza mada yangu? Nimeanza kwa kutoa heshima kwenu wakuu
 
Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako (Mithali 3:5-6)
Hilo sikatai kabisa hapo sina ubishi ila kwenye Graphic Card umetupiga.
 
Back
Top Bottom